TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Kosa alilofanya akala kifungo cha maisha ndio kimeisha sasa yupo huru so anahaki ya kizikwa kitaifa na hali zake alizoitumikia nchi anastahili apate.. So kama sifa apewe na kama makosa yaachwe keshatumikia kifungo chake chote.... Sawa sawa Njile na kiteta...
Hivo alihukumiwa na mahakama au kitengo ???????!!!!!
 
Waliona wamemkomesha n'a kumtupa huko kigamboni leo kigamboni sehemu nzuri tu...
Angalau kaach legacy

Ova
 
ilimsahau vipi wakati alipata stahiki zake kama makamu wa rais mstaafu,na rais mstaafu wa zanzibar?
Kaka usikurupuke kila jambo fanya utafiti kwanza,Pamoja na uzee kochokocho,aliokuwa nao,bado alikuwa na mtu wa Tiss pembeni na Land cruiser ya serikali,achilia mbali matibabu ya mara kwa mara London
Wacha kuwadanganya watu lini alipelekwa london kwa matibabu na hizo choko choko ulikuepo na tuoe ushahidi wa hilo jambo
 
Pumzika kwa amani mzee Aboud Jumbe. Msiba wapi mjimwema kigamboni?
 
Ah wapi Ngoja wanafki ma wana lumumba waanze kusogea hapo Kama ada yao
ilimsahau vipi wakati alipata stahiki zake kama makamu wa rais mstaafu,na rais mstaafu wa zanzibar?
Kaka usikurupuke kila jambo fanya utafiti kwanza,Pamoja na uzee kochokocho,aliokuwa nao,bado alikuwa na mtu wa Tiss pembeni na Land cruiser ya serikali,achilia mbali matibabu ya mara kwa mara London
 
Kweli mkuu unafiki kwa kwenda mbele, hata kumtembelea walikuwa hawaendi wakati ni hapo Kigamboni tu.

RIP mzee wetu mtakutana nao huko huko kwa hakimu wa Haki.
Utawasikia tuu wanavyo msifu.miaka yote hiyo wamemuweka kizuizini,siasa zetu hovyo kabisaaa
 
Huyu mzee alikuwa na roho ngumu sana! Angekuwa mtu mwingine angeishakufa zamani sana.
 
Kutoka exile ya ndani mpaka mahuti hakika fikra zako zitadumu na zitaishi miaka mingi miongoni mwa wazanzibar.

May God rest his heart in eternal repose.
 
Back
Top Bottom