TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

HAYA NI WAKATI WA WANAFKI KUANZA KUTOA MAPAMBIOOO N'A SIFA ZA MAREHEMU LAKINI SIKU ZOTE WAKATI WA UHAI WAKE N'A UGONJWA WAKE MLIKUWA WAPI MAANA NI KAMA MLIMSAHAUU....

OVAAA
 
Poa. Zifatilie kisha ulete ripoti kamili. Usisahau kuambatanisha wadhifa wake kipindi cha Uhai wake. Mungu amlaze mahali anapostahili.
 
WANAFIKI TUNAWASUBIRINI TUWASIKIE KWENYE TV N'A MAGAZETI.....

OVA
 
Kweli mkuu unafiki kwa kwenda mbele, hata kumtembelea walikuwa hawaendi wakati ni hapo Kigamboni tu.

RIP mzee wetu mtakutana nao huko huko kwa hakimu wa Haki.
Wewe ulikaaa mlangoni kuona kama wanakwenda au hawaendi
 
Yeah nafahamu alikuwa n'a matatizo ya macho
Ila serikali ilimsahau Ila kutokana n'a msibaa huu utasikiaaa sifa mbwembwe zote za kutiaa pole.....kama mimi ndiyo mwanafamilia au mtoto ah tunamzikaa kifamiliaa,msiba utakuwa lowprofile tu

Weee, acha tu...yule mzee baadhi yetu tulikuwa tunamfahamu angalau kidogo, na tunafahamu kilichotokea kwenye kikao kile cha NEC kule Dodoma...yaani binadamu ni wanafiki sana....Kama ni kweli amefariki Mungu amlaze Mahali pema peponi...nawapa pole wasaidizi wake ambao wamekuwa karibu naye since 1984...siwezi kuwataja majina hapa...na pia familia yake naipa pole...Watu ni wanafiki sana...Mungu ni Mkubwa siku zote...Ni kweli wanaweza wakaja humu bila aibu kusifia hiki na kile...tusubiri tuone...lakini inawezekana aliacha wosia...
 
Kwa mola ndipo tulipotoka na huko tutarejea sote apumzike kwa amani
 
Ningekuwa mwana familia nisingemruhusu hata kiongozi mmoja wa nchi hii asogee....ubaya ubaya TU bora
Weee, acha tu...yule mzee baadhi yetu tulikuwa tunamfahamu angalau kidogo, na tunafahamu kilichotokea kwenye kikao kile cha NEC kule Dodoma...yaani binadamu ni wanafiki sana....Kama ni kweli amefariki Mungu amlaze Mahali pema peponi...nawapa pole wasaidizi wake ambao wamekuwa karibu naye since 1984...siwezi kuwataja majina hapa...na pia familia yake naipa pole...Watu ni wanafiki sana...Mungu ni Mkubwa siku zote...Ni kweli wanaweza wakaja humu bila aibu kusifia hiki na kile...tusubiri tuone...lakini inawezekana aliacha wosia...
 
Walimtenga had amekufaaa,rip
Sidhani mkuu...alikuwa mkweli kivitendo na kinafsi...!
....msomi "aliesoma" kwa kujifunza...!
....ukitaka kujua pia somo la "mambo ya kikulacho", na yote yenye kuambatana na dhulma ya usaliti ktk siasa, fuatilia maisha ya kisiasa ya waliomsaliti, al marhum, Aboud Jumbe Mwinyi!
...yeye alijiamulia kuishi maisha yake ya kawaida, nje na mbali na siasa zetu za kitanzania!
...Allah, amjaalie rehma, toba, na maghurfilla...
 
Back
Top Bottom