Kauli gani na Mwenyekiti gani aliyeyasema hayo, Nyerere?kauli hii imo kwenyetuhuma dhidi ya Jumbe iliosemwa na Mwenyekiti
Hujui Hoja ya Sheikh Jumbe ndio sababu umejivuruga.
Jumbe hakuwa akipinga Muungano, alikuwa akiukubali sana na ndio sababu katika kuonesha Tanzania ni moja
1) Alikubali kuunganisha Vyama vya siasa ASP na TANU na laiti angekuwa Muoga basi asingekubali.
2) Alifanya ziara nyingi za kuhamasisha Maendeleo hata huku bara ndio sababu hata wakati Nyerere anaitisha kikao cha dharura cha NEC Mzee Jumbe alikuwa anatokea Musoma kwny ziara za kiserikal kuchochea Maendeleo.
3) Kujenga Nyumba Bara ni ishara yake kuonesha hakuwa na dhamira ya kuvunja Muungano bali kuleta Muungano wenye maridhiano na ndio sababu alikuwa akiandaa andiko la Muundo wa Serikal tatu liletwe kwny NEC na lijadiliwe ( aliamini katika kujenga hoja) lakini akafukuzwa kwa kuwa na hoja hiyo kama vile ni haramu kuwaza tofauti na kuleta hoja.
4) kuna Wengine makaja na hoja alikuwa anapambana na kina Seif tena mkawaita wapenda Mabadiliko sasa jiulize kama Jumbe alikuwa ndie
Aliesimamia kuunganisha TANU na ASP Zanzibar
Alieanzisha katiba ya Zanzibar na kuachana na kutumia Amri za Rais kutawala ( decree)
alienzisha Baraza la Wawakilishi na kuachana kutawala kwa kutumia Baraza la Mapinduzi
Alieweka bill of Human rights Zanzibar
Alieamua kuacha desturi ya kuwabagua Wapemba na kuwajumuisha Serikalini
Pamoja na mabadiliko yote aliyofanya bado tunamwita eti hakuwa Mpenda Mabadiliko na kina Seif ndio wapenda Mabadiliko.
Natanzania na UDINI! Habari ya kifo imegeuzwa kongamano la dini.
Yaani hawa ndugu zetu wakati mwingine wanaharibu mno minakasha kwa kubishana kwenye mambo ya dini. Mnakasha huu ulikuwa ni kutupatia maarifa na taarifa nyingi tena zenye mafunzo, lakini loh! Anno Domino, dini gani ya ukweli, kadha wa kadha mpaka mnakasha unapoteza mwelekeo wake! Tuachieni basi tujifunze wakuu!!
Kaka ...
Mwinyi amejengewa nyumba wapi ?????I rest my case man. Happy Tuesday!
Tatizo unasahau kamba zako mwenyewe!.Sio kweli
Jumbe alikuwa anakuja Zanzibar kila panapotokea haja.
Rais wetu tuliomchaua kwa kura 84% anauzuliwa na babe mmoja na kufungwa kifungo cha maisha cha asikanyage Zanzibar.
... dhulma, udhalimu na ukatili waliomfanyia Jumbe wakati uhai wake
Mwinyi amejengewa nyumba wapi ?????
You rest your case, case gani uliyoi present hapa ya ku rest? Unakimbia?
Ati marais wote wastaafu hujengewa nyumba.
Mwinyi kajengewa nyumba wapi ???
Na Mkapa amejengewa nyumba wapi???
Kukarabati kathiri la Jumbe is naked misuse and abuse of tax shillings, imetoka fungu gani la bajeti hiyo hela?
Ndio maana makodi mapya hayaishi nchi hii! There is massive waste and abuse of tax money.
Tatizo unasahau kamba zako mwenyewe!.
Wewe mwenyewe umesema Jumbe alifungwa kifungo cha maisha cha kutokanyaga Zanzibar. Sasa umeenda hadhithiwa msibani kwamba Jumbe keshawahi kuja Zanzibar? Si ungesema mara ya kwanza ulichemka!
Baraghash, post: 17226276
Rais wetu tuliomchaua kwa kura 84% anauzuliwa na babe mmoja na kufungwa kifungo cha maisha cha asikanyage Zanzibar.
... dhulma, udhalimu na ukatili waliomfanyia Jumbe wakati uhai wake
Hahahaa! Huo wimbo wa "Tax payer's money sisi wote tunaufahamu - tatizo lako jazba nyingi. Mwinyi na Mkapa wamejengewa nyumba Mikocheni, Kikwete Ada Estate. Need I say more?
Duu, Kikwete kashajengewa nyumba tayari toka awe mstaafu, we mkali!Hahahaa! Huo wimbo wa "Tax payer's money sisi wote tunaufahamu - tatizo lako jazba nyingi. Mwinyi na Mkapa wamejengewa nyumba Mikocheni, Kikwete Ada Estate. Need I say more?
Usijichanganye na naamini lugha ya kiswahili unielewa. Kuja Zanzibar kuzika watoto wake mwenyewe au aliporudi matibabu ikambidi kurudi na kupata uangalizi wa mwanae haimaanishi kuwa hayuko kwenye kifungo cha maisha nyumbani.Wewe mwenyewe umesema Jumbe alifungwa kifungo cha maisha cha kutokanyaga Zanzibar. Sasa umeenda hadhithiwa msibani kwamba Jumbe keshawahi kuja Zanzibar? Si ungesema mara ya kwanza ulichemka
Sio kweli mkuu. Ilikuwa lazima alikuwa apate kibali kwa wale waliomdhibiti. Rais Jumbe alikuwa anapenda sana kusafiri nje ya nchi lakini tokea alipokuwa kifungoni kasafiri kwenda India tu kwa matibabu. Hivi alikuwa haalikwi kwenye mikutano nje ya nchi au hata za kikanda kama wapatavyo akina Mkapa na Kikwete.Du! Sijui unaishi dunia ipi mkuu? Jumbe alikuwa anasafiri anakwenda kokote anakotaka as early as 2000. Wenye busara waliona hichi kifungo kilikuwa upuuzi waka tupilia mbali.
Sio kweli mkuu. Ilikuwa lazima alikuwa apate kibali kwa wale waliomdhibiti. Rais Jumbe alikuwa anapenda sana kusafiri nje ya nchi lakini tokea alipokuwa kifungoni kasafiri kwenda India tu kwa matibabu. Hivi alikuwa haalikwi kwenye mikutano nje ya nchi au hata za kikanda kama wapatavyo akina Mkapa na Kikwete.
Usijaribu kuhalalaisha udhalimu kwa kuupaka vipodozi na marashi! Mbona hajapata kibali cha alau kuwaaga wazanzibari au kumsikia mwenyewe akitamka kuwa amejiuzulu Rais wa Zanzibar mpaka kifo kilipomfika?
Duu, Kikwete kashajengewa nyumba tayari toka awe mstaafu, we mkali!
Ada Estate hakuna nyumba ya Kikwete mjomba acha kamba, nyumba ya serikali ya Kikwete alipewa toka akiwa Waziri, iko Mikocheni.
Mwinyi nyumba yake ya Mikocheni kajenga mwenyewe japo anayo ya serikali ambayo aliishi toka yuko Rais, kama ambavyo wakubwa wa serikali wote miaka ile walipata nyumba, iko Oysterbay mtaa wa Laibon wana share ukuta na kambi ya kijeshi ya Marekani.
Mkapa hajajengewa nyumba na serikali either, japo ana jumba la serikali Masaki ambalo alilipata kama ambavyo wakubwa wote miaka ile walipewa.
Aboud Jumbe kujengewa upya nyumba yake binafsi Kigamboni ni ubadhilifu wa hela za umma.
You are too superstitious, what else do you believe, Nyerere killed Karume and Kikwete jailed Nguza Vikings?You are too naive...
Naona sasa posho za maasikali waliokua wakimlinda nyumbani kwake pale kigamboni asitoke zimefikia ukingoni.
Nini kilitokea mkuu!!?Mungu amlaze mahali pem peponi...sitasahau siku ile dodoma na tukiwa njian kurudi dsm..
MaalimNini kilitokea mkuu!!?
Ni nani alimsaliti Mzee Aboud Jumbe!!?hope unijibu hili coz halina effect yeyote Kwa siasa za Sasa hata tukijua yaliyojiri!!