TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Kitabu chake cha Partnership kinapatokana wapi? Kinacho swahili translation?
 
Inailah wainalilah rajuun.Allah akupe kaul thabit Sheikh Jumbe.Amin.
 
INNA LILLAH WAINAILAIH RAAJIUN mwenyenzimungu umrehemu mzee wetu aboud jumbe, mpambanaji aliye mkweli
 
*Innah llilah wainnah ilayhi rajiun
Allah akusamehe madhambi yako,akurehemu na akupe pepo ya firdaus ameeen ameeen*
 

Loh! Sijui kama ameacha ameandika kitabu au la, ingekuwa vema kama watoto wake wangeandika historia yake ya kweli - hasa hasa kilicho jili Dodoma na wahusika wakuu walio fanya mpango awekwe kizuizini Robben Island ya pwani ya Mjimwema walikuwa ni akina nani.
 
Alipo apa kuwa Rais/Makamu wa Rais alipoteza haki hizo zote. Haki hizo kwa sasa ni za Taifa, na taifa litaamua kama alivyojikabidhi kwa taifa kipindi anaapishwa.Full stop.
 
UTASHANGAAAA WANAPELEKAA VINGORAA SEMANINI NA MAGARIYAKIFAHARI NAKUMBUKA NDUGU WALISHAWATOA RESI JAMA WAKADAI WATAMTUNZANNDUGUYAK AWAITAJIMSAADA WAMTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…