Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Dah!
R.I.P balozi
R.I.P balozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule sijui mhindi sijui mwarabu wa kusini, Lwakatare, yule Msukuma wa jana na MahigaMkuu, sio watatu!
Namkubali sana Jamani Ndivembilee yune ugita mwana afwileeeeMaweee ninavyomkubali huyu mzee mwanadiplomasia😢😢😢
Roho yake ilale mahali pema.
Nachoweza sema ni..
"Niende wapi,niikimbie maagumu. Magumu ya Dunia"
-F.E.Nyanza
Anatakiwa aombe radhi tena hadharani"Wapinzani ni sawa na corona" By POLEPOLE katibu mwenezi sisiem. Hiyo kauli ilikuwa mbaya sana
ila vifo vimebaki 16!Yule sijui mhindi sijui mwarabu wa kusini, Lwakatare, yule Msukuma wa jana na Mahiga
Take care Mbrazil wangu.Yaani mie nna pumu baba ana pumu na sukari .naogopa hata kupanda bus noende leo najihis chizi fresh kbs..! Eh Mungu nilindie jembe langu!ila mie sijihofii kbs...namhofia dingilai uwiii[emoji56][emoji56][emoji56]
Basi aruhusu na wenzake wafanyie kazi makwao kama yeye!Kwani naye si anachapa kazi.
Hayo mabarua yaliyoandikwa Leo asubuhisubuhi wakati wee bado umelala yamesharushwa mitandaoni.
Kwani Kuna tofauti gani yangeandikwa Magogoni ama Chamwino?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilinganishe Sweden na sisi Tanzania.wenzetu wanapima watu wao na kujua nani anamaambukizi na wanatibiwa huku wakiwawamedhibiti mipaka na muingiliano. Hapa kwetuhali ikoje? Watu hatupimwi, minadani,sokoni kwenye mabasi Kama kawaida ,huduma za afya mbovu. Kwanini tusife.Siyo kila nchi wamejifungia mkuu hata huko ulaya sio baadhi ya nchi hawajajifungia, mfano Sweden watu wapo mitaani, hotel na migahawa ipo wazi, watu wameambiwa juhudi za kujikinga kila mtu atumie akili zake. Sweden ina vifo na wagonjwa wengi tuila sio kama Italia na USA waliojifungia!
Akashindwa kupiga kifo risasi?.sifa zote mbele ya kifo zimepigwa chiniAisee kaondoka komandoo,shushushu mbobezi na mlenga shabaha ambaye hajawahi rusha risasi iwe kwa pistol au bunduki akamkosa mtu sehemu yeyote aliyopania kulenga uuuu
Poleni JWTZ na Usalama Wa Taifa kumpoteza nguli wenu Wa ndani na nje ya nchi
Aisee
Om shanti shanti shanti
Na wanaopona ni wengi kuliko Wagonjwaila vifo vimebaki 16!
Stay at home!
Huyu rais ni muuaji.Inasikitisha sana,
Umezungukwa na best medical team,na ventilator yako na familia yako na surgeons afu unawaambia watu wachape kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo nilipopigia msitari kunaukweli mkubwa! Asante sana kwa kuwaza nje yamazoea!Kiukweli hali ni mbaya sana kwa huu ugonjwa wa Covid-19 ila pia kwa watu baadhi kulikuwa na tendency ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa baadhi ya matatizo ya kiafya(Kuhusu Dr Sijui) ambayo hospitali za ndani hazina uwezo na saizi nchi yetu imesitisha safari za anga kwa abiria na nyingi ya hizo nchi zimesitisha watu kuingia na kutoka hiyo pia inaweza kupelekea watu hao kuzidiwa na kukosa huduma au kupata pressure kwa mawazo tu na kupelekea kufariki ,yote yanawezekana. Tuendelee kuchukua kila taadhari, Tuendelee kumuomba Mungu atusaidie kwa hili. Pumzika kwa Amani Dr.
Usipinge kila kitu, amesema ‘kama huna ishu’, kaa ndani!
Amin amin mjomba jambaziTake care Mbrazil wangu.
Hat hawa wabunge wana makosa makubwa. Ilibidi wajali afya zao hata kama ni kwa gharama ya kupoteza fedha na nafasi zao. Wangeungana wote waseme hali ni mbaya na vikao vya Bunge haviwezi kufanyika wangefanywa nini? Hii corona ni reality check.Bunge limegeuka kuwa machinjioni. Hivi mpaka afe Ndugai ndo hawa wakawekwe karantini? Ulafi wa posho na kiburi cha kutaka kumaliza shughuli as per ratiba KUTAWAMALIZA wote
Kaaa ndani tulia! Sali tu epuka kushiriki hata Jumuiya! Unless kama kuna jambo walitaka! Usimuamini mgeni wala Rafiki, stay home stay safeYaani mie nna pumu baba ana pumu na sukari .naogopa hata kupanda bus noende leo najihis chizi fresh kbs..! Eh Mungu nilindie jembe langu!ila mie sijihofii kbs...namhofia dingilai uwiii😇😇😇