TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Atazikwa na serikali. Watakaohudhuria mazishi hawatazidi watu 10.
 
Siyo kila nchi wamejifungia mkuu hata huko ulaya sio baadhi ya nchi hawajajifungia, mfano Sweden watu wapo mitaani, hotel na migahawa ipo wazi, watu wameambiwa juhudi za kujikinga kila mtu atumie akili zake. Sweden ina vifo na wagonjwa wengi tuila sio kama Italia na USA waliojifungia!
Usilinganishe Sweden na sisi Tanzania.wenzetu wanapima watu wao na kujua nani anamaambukizi na wanatibiwa huku wakiwawamedhibiti mipaka na muingiliano. Hapa kwetuhali ikoje? Watu hatupimwi, minadani,sokoni kwenye mabasi Kama kawaida ,huduma za afya mbovu. Kwanini tusife.
 
Aisee kaondoka komandoo,shushushu mbobezi na mlenga shabaha ambaye hajawahi rusha risasi iwe kwa pistol au bunduki akamkosa mtu sehemu yeyote aliyopania kulenga uuuu

Poleni JWTZ na Usalama Wa Taifa kumpoteza nguli wenu Wa ndani na nje ya nchi
Aisee

Om shanti shanti shanti
Akashindwa kupiga kifo risasi?.sifa zote mbele ya kifo zimepigwa chini
 
Kiukweli hali ni mbaya sana kwa huu ugonjwa wa Covid-19 ila pia kwa watu baadhi kulikuwa na tendency ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa baadhi ya matatizo ya kiafya(Kuhusu Dr Sijui) ambayo hospitali za ndani hazina uwezo na saizi nchi yetu imesitisha safari za anga kwa abiria na nyingi ya hizo nchi zimesitisha watu kuingia na kutoka hiyo pia inaweza kupelekea watu hao kuzidiwa na kukosa huduma au kupata pressure kwa mawazo tu na kupelekea kufariki ,yote yanawezekana. Tuendelee kuchukua kila taadhari, Tuendelee kumuomba Mungu atusaidie kwa hili. Pumzika kwa Amani Dr.
Mkuu hapo nilipopigia msitari kunaukweli mkubwa! Asante sana kwa kuwaza nje yamazoea!
 
Bunge limegeuka kuwa machinjioni. Hivi mpaka afe Ndugai ndo hawa wakawekwe karantini? Ulafi wa posho na kiburi cha kutaka kumaliza shughuli as per ratiba KUTAWAMALIZA wote
Hat hawa wabunge wana makosa makubwa. Ilibidi wajali afya zao hata kama ni kwa gharama ya kupoteza fedha na nafasi zao. Wangeungana wote waseme hali ni mbaya na vikao vya Bunge haviwezi kufanyika wangefanywa nini? Hii corona ni reality check.

Haihitaji siasa za kisanii wala ushabiki mbuzi tuliozea sisi watanzania. Ni aidha uwe mkweli na kufuata kanuni au uwe mnafiki na uangamie. Na mbaya zaidi anayesema tuchape kazi amejifungia mahali salama. Hivi mtu mmoja mwenye maono potofu namna hii anawezaje ku-control watu wote na kuwaangamiza na tukakubali tu?
 
Sasa ni wakati wew na familia yako sio Serekali
Offcn kwetu kuna wangonjwa ambao usingetemea
Yaani ni hatari
Ila chakushukuru Mungu nikwamba watu wanapona wengi kuliko wanao kufa

Swali mm na wew tukiugua tutakua upande upo kati hizi mbili kufa au kupona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mie nna pumu baba ana pumu na sukari .naogopa hata kupanda bus noende leo najihis chizi fresh kbs..! Eh Mungu nilindie jembe langu!ila mie sijihofii kbs...namhofia dingilai uwiii😇😇😇
Kaaa ndani tulia! Sali tu epuka kushiriki hata Jumuiya! Unless kama kuna jambo walitaka! Usimuamini mgeni wala Rafiki, stay home stay safe
 
Back
Top Bottom