Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Utata upo kwenye ubongo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utata upo kwenye ubongo wako
Kilichobaki sasa ni kila mmoja kuchukua tahadhari binafsi ili kujikinga dhidi ya Covid-19 na siyo kutegemea serikali peke yake ikusaidie kuchukua tahadhari.
Hii ni vita halisi, na kila mmoja wakati huu anaishiriki.
Hii serikali imeshalemewa tayari, tahadhari walishindwa kuchukua tangu awali hivyo saiv watu wanapukutika tuu.
Aiss mimi nafikiria mara mbili mbili hapa...nimtumie nauli au nimpotezee!!Nilikuwa nimeshaweka kibra shemeji yenu,baada ya hii post kibamia kimesinyaaa. daah rip mwanadiplomasia
Kwani barua imetoka ya rambirambi tuKwahiyo kazi yake ni kuandika salamu za rambirambi!
Siyo kila nchi wamejifungia mkuu hata huko ulaya sio baadhi ya nchi hawajajifungia, mfano Sweden watu wapo mitaani, hotel na migahawa ipo wazi, watu wameambiwa juhudi za kujikinga kila mtu atumie akili zake. Sweden ina vifo na wagonjwa wengi tuila sio kama Italia na USA waliojifungia!Yeye alivojifungia anakula nini?? Hizo nchi zingine watu wanaokaa ndani wanakula nini.ndio maana tutakufa hovyo kwa akili za kijinga Kama zakwako
Inawezekana mkuu, ila pia kwa watu waliokuwa wanategemea hospitali za nje ikitokea kipindi hiki ndicho cha mahudhurio ya clinic zao au wakizidiwa wanakuwa hawana option. Ingawa picha ya mazishi hupelekea kuhisi chanzo cha kifo.Mkuu, kinachowamaliza ni COVID wao wanatangazwa kwakuwa ni wanajulikana ila ukweli vifo vimetapakaa sana. Yani watanzania ni tumekufa aisee! Tumeisha.
Niliona Ile lema kasema alienda kuangalia kaburi la mama mkwe 😄😄😄😄
Naunga mkono hoja
Atoke nje kuendelea na majukumu yake Kama kawaida. Akakague miradi ,ahudhuria mikutano yake ya mabaraza tuone Kama anaweza kufanya hivyo. Huwezi kuwaambia watu waendelee kujichanganya kuchapa kazi huku wewe umeji isolation. Huyu rais ni muuaji.
Wengine ni waajiriwa wa Serikali, kwa hiyo wakae nyumbani bila ruhusa ya mwajiri? Katika hili la Covid 19 serikali inalo la kufanya kunusuru watu wake!Kwani umelazimishwa kutoka kwako wewe si jilock down mwenyewe asee