TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Vifo hivi vinatukumbusha jambo la muhimu kuwa kutokana na hali ilipofikia, kila mmoja wetu haijui kesho yake ila yupo aliyetufikisha hapa. Naamini Mungu anaona! Tunajua hatuna tena pa kukimbilia. Tunabaki tukilia na Mungu ambaye amejidhihirisha kwetu kupitia kiburi na jeuri tuliyofanya.
 
Sema tuna viongozi wa juu wenye uwezo mdogo sana..sio kwenye swala hili la Covid-19 bali hata kwenye maswala mengine..

Sisi kama Taifa we have to serious aisee..Tunazidiwa hata na Uganda kwa kuwa serious??
 
Kiukweli hali ni mbaya sana kwa huu ugonjwa wa Covid-19 ila pia kwa watu baadhi kulikuwa na tendency ya kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa baadhi ya matatizo ya kiafya (Kuhusu Dr Sijui) ambayo hospitali za ndani hazina uwezo na saizi nchi yetu imesitisha safari za anga kwa abiria na nyingi ya hizo nchi zimesitisha watu kuingia na kutoka hiyo pia inaweza kupelekea watu hao kuzidiwa na kukosa huduma au kupata pressure kwa mawazo tu na kupelekea kufariki ,yote yanawezekana. Tuendelee kuchukua kila taadhari, Tuendelee kumuomba Mungu atusaidie kwa hili. Pumzika kwa Amani Dr.
 
Screenshot_20200501-083731.png
 
Aisee kaondoka komandoo, shushushu mbobezi na mlenga shabaha ambaye hajawahi rusha risasi iwe kwa pistol au bunduki akamkosa mtu sehemu yeyote aliyopania kulenga uuuu

Poleni JWTZ na Usalama wa Taifa kumpoteza nguli wenu Wa ndani na nje ya nchi
Aisee

Om shanti shanti shanti
 
Back
Top Bottom