TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Kiukweli hali ni mbaya sana kwa huu ugonjwa wa Covid-19 ila pia kwa watu wazito kulikuwa na tendency ya baadhi yao kwenda kutibiwa nje kwa baadhi ya matatizo ya kiafya(Kuhusu Dr Sijui) ambayo hospitali za ndani hazina uwezo na saizi nchi yetu imesitisha safari za anga kwa abiria na nyingi ya hizo nchi zimesitisha watu kuingia na kutoka hiyo pia inaweza kupelekea watu hao kuzidiwa na kukosa huduma au kupata pressure kwa mawazo tu na kupelekea kufariki ,yote yanawezekana. Tuendelee kuchukua kila taadhari, Tuendelee kumuomba Mungu atusaidie kwa hili. Pumzika kwa Amani Dr.
Mkuu, kinachowamaliza ni COVID wao wanatangazwa kwakuwa ni wanajulikana ila ukweli vifo vimetapakaa sana. Yani watanzania ni tumekufa aisee! Tumeisha.
 
Hio corona inatakiwa iyauwe maccm yote maana yametesa watu sana tens wale wates wakuu wakiongozwa na baba yao pamoja na bashite wanatakiwa wafe kabisa.
Usiseme hivo mungu hapangiwi na huu ugonjwa hauchagui chama dini kabila wala jinsia Bali sote tuko ktk hali mbaya Leo katangulia yy kesho na weza kutangulia mm na siku nyengine akatangulia mtu yoyote ndani ya familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom