TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Atazikwa na serikali. Watakaohudhuria mazishi hawatazidi watu 10.
 
Usilinganishe Sweden na sisi Tanzania.wenzetu wanapima watu wao na kujua nani anamaambukizi na wanatibiwa huku wakiwawamedhibiti mipaka na muingiliano. Hapa kwetuhali ikoje? Watu hatupimwi, minadani,sokoni kwenye mabasi Kama kawaida ,huduma za afya mbovu. Kwanini tusife.
 
Akashindwa kupiga kifo risasi?.sifa zote mbele ya kifo zimepigwa chini
 
Mkuu hapo nilipopigia msitari kunaukweli mkubwa! Asante sana kwa kuwaza nje yamazoea!
 
Bunge limegeuka kuwa machinjioni. Hivi mpaka afe Ndugai ndo hawa wakawekwe karantini? Ulafi wa posho na kiburi cha kutaka kumaliza shughuli as per ratiba KUTAWAMALIZA wote
Hat hawa wabunge wana makosa makubwa. Ilibidi wajali afya zao hata kama ni kwa gharama ya kupoteza fedha na nafasi zao. Wangeungana wote waseme hali ni mbaya na vikao vya Bunge haviwezi kufanyika wangefanywa nini? Hii corona ni reality check.

Haihitaji siasa za kisanii wala ushabiki mbuzi tuliozea sisi watanzania. Ni aidha uwe mkweli na kufuata kanuni au uwe mnafiki na uangamie. Na mbaya zaidi anayesema tuchape kazi amejifungia mahali salama. Hivi mtu mmoja mwenye maono potofu namna hii anawezaje ku-control watu wote na kuwaangamiza na tukakubali tu?
 
Sasa ni wakati wew na familia yako sio Serekali
Offcn kwetu kuna wangonjwa ambao usingetemea
Yaani ni hatari
Ila chakushukuru Mungu nikwamba watu wanapona wengi kuliko wanao kufa

Swali mm na wew tukiugua tutakua upande upo kati hizi mbili kufa au kupona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mie nna pumu baba ana pumu na sukari .naogopa hata kupanda bus noende leo najihis chizi fresh kbs..! Eh Mungu nilindie jembe langu!ila mie sijihofii kbs...namhofia dingilai uwiii😇😇😇
Kaaa ndani tulia! Sali tu epuka kushiriki hata Jumuiya! Unless kama kuna jambo walitaka! Usimuamini mgeni wala Rafiki, stay home stay safe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…