TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Kumbe alikua yuko vyema sana.
Dah, watoto wake sijui watakuaje, kuna yule aliolewaga.
 
R.I.P

Kama aliugua ghafla ina maana pumzi zilikata

Kama pumzi zilikata ina maana alishindwa kupua

Kama alishindwa kupumua inamaana alikuwa na tatizo la upumuaji

Hatua za mwisho za mgonjwa wa corona ni kumfanya mtu ashindwe kupumua

Dahh! Mtu wa tatu huyu anaondoka na corona katika bunge la bajeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atoke nje kuendelea na majukumu yake Kama kawaida. Akakague miradi ,ahudhuria mikutano yake ya mabaraza tuone Kama anaweza kufanya hivyo. Huwezi kuwaambia watu waendelee kujichanganya kuchapa kazi huku wewe umeji isolation. Huyu rais ni muuaji.
Waterloo! Ume-panic ndugu yangu, jitulize kidogo maana unakoelekea, utakufuru! Hili ni janga, limetukumba wote, tupo hatarini, lakini tuki-panic hatutajenga chochote! Can I repeat? Tujitulize, tutafakari, alafu tuchukue hatua staiki, hata kama ni comment hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…