TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Aisee kaondoka komandoo,shushushu mbobezi na mlenga shabaha ambaye hajawahi rusha risasi iwe kwa pistol au bunduki akamkosa mtu sehemu yeyote aliyopania kulenga uuuu

Poleni JWTZ na Usalama Wa Taifa kumpoteza nguli wenu Wa ndani na nje ya nchi
Aisee

Om shanti shanti shanti
Kumbe alikua yuko vyema sana.
Dah, watoto wake sijui watakuaje, kuna yule aliolewaga.
 
R.I.P

Kama aliugua ghafla ina maana pumzi zilikata

Kama pumzi zilikata ina maana alishindwa kupua

Kama alishindwa kupumua inamaana alikuwa na tatizo la upumuaji

Hatua za mwisho za mgonjwa wa corona ni kumfanya mtu ashindwe kupumua

Dahh! Mtu wa tatu huyu anaondoka na corona katika bunge la bajeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atoke nje kuendelea na majukumu yake Kama kawaida. Akakague miradi ,ahudhuria mikutano yake ya mabaraza tuone Kama anaweza kufanya hivyo. Huwezi kuwaambia watu waendelee kujichanganya kuchapa kazi huku wewe umeji isolation. Huyu rais ni muuaji.
Waterloo! Ume-panic ndugu yangu, jitulize kidogo maana unakoelekea, utakufuru! Hili ni janga, limetukumba wote, tupo hatarini, lakini tuki-panic hatutajenga chochote! Can I repeat? Tujitulize, tutafakari, alafu tuchukue hatua staiki, hata kama ni comment hapa!
 
Back
Top Bottom