Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
Kumbe alikua yuko vyema sana.Aisee kaondoka komandoo,shushushu mbobezi na mlenga shabaha ambaye hajawahi rusha risasi iwe kwa pistol au bunduki akamkosa mtu sehemu yeyote aliyopania kulenga uuuu
Poleni JWTZ na Usalama Wa Taifa kumpoteza nguli wenu Wa ndani na nje ya nchi
Aisee
Om shanti shanti shanti
Dah, watoto wake sijui watakuaje, kuna yule aliolewaga.