.... vile ndo tumekuwa na mda makini zaid kuskiliza vifo na kuripoti vifo...imechukua nafasi ya betting daily...vifo vilikuepo na vitazid kuepo ata bila covid -19AISEE HALI NI TETE TUNAKWISHA JAPO WANASEMA HIVI VIFO SIO VYA CORONA ILA KWA NINI IWE WAKATI HUU WA CORONA NDO VIFO VINAZIDI?!
hebu weka picha yake hapa maana kuna korona mmoja mule alikuwa kageukia gari linapotoka kuhskikisha hawadondoshi mxigo wowote ulioko kwenye buti
Umenena mkuu, kila mtu apambane na hali yake, japo ni kweli tumechelewa sana.Kilichobaki sasa ni kila mmoja kuchukua tahadhari binafsi ili kujikinga dhidi ya Covid-19 na siyo kutegemea serikali peke yake ikusaidie kuchukua tahadhari.
Hii ni vita halisi, na kila mmoja wakati huu anaishiriki.
Hii serikali imeshalemewa tayari, tahadhari walishindwa kuchukua tangu awali hivyo saiv watu wanapukutika tuu.
SureUnajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Huu siwakati wakujishauri hatua zakuchukua zinajulikana. santesandyWaterloo! Ume-panic ndugu yangu, jitulize kidogo maana unakoelekea, utakufuru! Hili ni janga, limetukumba wote, tupo hatarini, lakini tuki-panic hatutajenga chochote! Can I repeat? Tujitulize, tutafakari, alafu tuchukue hatua staiki, hata kama ni comment hapa!
Mzee MMM bado unaamini ile bahati nasibu uliyosema Magu anacheza italipa!? Au bado ni mapema!!!Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Hili ni la muhimu lakuzingatia.Uhai ndio kila kitu hivyo vyeo mnakufa mnaviacha, kama kiongozi mkubwa hataki kufuata ushauri wa wataalamu ni kumwachia serikali aongoze peke yake.
Watu 60M watakwisha?Halafu anasema endeleeni kuchapa kazi. Hao wabunge huko bungeni wanafanya nini? Watu watakwisha kwa tamaa ya posho badala ya kuangalia Kwanza afya zao.
Ukikubali kuelewa utaelewa kama utaki basi ulazimishwi; sehemu kama mkoa Mara..Katavi na miji midogo midogo zimepata maambukizi ya Corona kwa uzembe wa serikali. Ugonjwa ulichelewa kufika Tanzania na sisi kama serikali pia tukawa tunachelewa kufanya monitoring ya movement ya watu.Watoa matusi haraka haraka ni watu wenye akili ndogo sana hasa wanapokuwa wanafanya hivyo kwa hisia bila kuwa na taarifa kamili. Kwa maoni yako sasa wewe unaamini kuwa kila kifo kinachotokea Tanzania ni kwa sababu ya korona na ni makosa ya serikali.