Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Anaapishwa kwa Skype.Waziri mpya akiteuliwa ataapishiwa wapi...... Chato!? Naona muda wa kurudi mjini umewadia. RIP Mzee Mahiga.
Inakera sana, yaani utadhani wao wanaishi taifa lingine tofauti na hili letu.H
Hawa siku hizi wapo kuwa shughulikia wapinzani .. thamani yao ishakua kama polisi tu. BORA JWTZ hatuwaoni kwenye harakati za kuwang'oa chadema
Ukifa wewe hawatakufa wote!!Watu 60M watakwisha?
Siku yangu siijui ila kumuombea mwingine kifo aah hiyo nafanya mchana kweupe coz me sio mnafiki. Koleo ni koleo sio kijiko kikubwaHakuna cha bora angeondoka fulani, kila mtu na siku yake, don't pray for someone's death when you know your day is just "unknown"!
Kwahiyo wanamuogopa rais kuliko kifo[emoji849]!Wanamuogopa Rais wao Mpaka yeye Aseme wao hawana Maamuzi Ila Siku si Nyingi Watakimbia mmoja mmoja.
Kifo[emoji48]
So amefariki kwa ugonjwa gani? Au kuna kinachoendelea tusichokifahamu.