nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Wabunge wa upinzani waachieni wasaka tonge wa ccm waendelee na vikaoHalafu anasema endeleeni kuchapa kazi. Hao wabunge huko bungeni wanafanya nini? Watu watakwisha kwa tamaa ya posho badala ya kuangalia Kwanza afya zao.
Alikuwa ni sniper mzuri au umetumia code mkubwa?Aisee kaondoka komandoo, shushushu mbobezi na mlenga shabaha ambaye hajawahi rusha risasi iwe kwa pistol au bunduki akamkosa mtu sehemu yeyote aliyopania kulenga uuuu
Poleni JWTZ na Usalama Wa Taifa kumpoteza nguli wenu wa ndani na nje ya nchi
Aisee
Om shanti shanti shanti
Sote ni maiti watarajiwa kwann tubaniane pumzi
Ukitenda wema umewekeza kwenye uzao wako.Vivo hivo mabayaTujitahidi kuwa wema mbele ya MUNGU.
Wewe ndiye boya na fafa.Wakikaa ndani utawalisha acha uboya wewe.
Badala ya kununua magari ya uchaguzi, hela hizo ingempa Bakhresa agawie watu chakula dar kisha wasitoke ndani kwa siku angalau 14.Ni maamuzi gani sahihi serikali inaweza chukua?
Ukweli bila ya kupepesa macho, kwa makadirio, zaidi ya 70% wanaofariki sasa hivi ni Covid- 19. Askofu Rwakatare, Ndassa na leo Mahiga, wote ni Coronavirus. Mbunge Sugu ametamka wazi Bungeni, na itaendelea kuwepo kwenye hansard, kuwa Askofu Rwakatare na Mh. Ndassa ni wahanga wa Covid-19.AISEE HALI NI TETE TUNAKWISHA JAPO WANASEMA HIVI VIFO SIO VYA CORONA ILA KWA NINI IWE WAKATI HUU WA CORONA NDO VIFO VINAZIDI?!
Ingawa kupoteana na mtu yeyote ni majonzi kwa Taifa hasa akiwa Kijana na talented , Lakini ukumbuke Tz imeisha poteza wengi n.a. ktk umri tofauti na Maisha yanaendelea kuna watu Kama Nyerere, Karume,Sokoine, Shekilango,Eli Ufoo, Kleruu etc etcSasa nchi imepoteza! Asset kama hii unahitaji karne kupata nyingine ...[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dose?? Kungekuwepo si ingekua afazaliBasi wawapime wabunge wote,,sio kuwapima joto,wapimwe,wenye vimelea waanze dose na watengwe
Muulize Mahiga anayeenda kazini kwa kuunga juhudi kama hata anaweza kukujibu!!Waulize waalimu walioko nyumbani sababu ya Korona, watakupa masahibu ya kutoenda kazini.
Ubongo umetawaliwa na siasa mpaka unamdhihaki mwenyezi Mungu sasa umetamalaq!Hakuna cha Shetani...wacha Covid 19, iwale vichwa..CCM nyinyi ni vichwa Maji!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hanuoni death rate nchi nyingine, nako unajua aliowafikisha hapo, au ndio muendelezo wa kuongea usichokijua, ambacho kwa ufupi ni ushambengaVifo hivi vinatukumbusha jambo la muhimu kuwa kutokana na hali ilipofikia, kila mmoja wetu haijui kesho yake ila yupo aliyetufikisha hapa. Naamini Mungu anaona! Tunajua hatuna tena pa kukimbilia. Tunabaki tukilia na Mungu ambaye amejidhihirisha kwetu kupitia kiburi na jeuri tuliyofanya.
Bila kumtaja "Mwamwindi" unakua huja ballance equation.Ingawa kupoteana na mtu yeyote ni majenzi kwa Taifa hasa akiwa Kijana na talented , Lakini ukumbuke Tz imeisha poteza wengi n.a. ktk umri tofauti na Maisha yanaendelea kuna watu Kama Nyerere, Karume,Sokoine, Shekilango,Eli Ufoo, Kleruu etc etc
Tutapata majibu wakati wa kuusafirisha mwili na pia taratibu za mazishi. Hapo ndipo tutajua ukweli.AISEE HALI NI TETE TUNAKWISHA JAPO WANASEMA HIVI VIFO SIO VYA CORONA ILA KWA NINI IWE WAKATI HUU WA CORONA NDO VIFO VINAZIDI?!
Kama umekuja hapa kumtetea mtu basi umeshafeli vibaya sana.Hivi hanuoni death rate nchi nyingine, nako unajua aliowafikisha hapo, au ndio muendelezo wa kuongea usichokijua, ambacho kwa ufupi ni ushambenga
Hapa ndipo tulipofikishwa. Inasikitisha sana. Cha ajabu, bado hatujifunzi chochote. Nadhani hili ni funzo kubwa kwetu wananchi katika kujua ni jambo muhimu kiasi gani kuwa na kiongozi anayeona mbali. Ukweli ni kuwa mtu mmoja naweza kuangamiza Taifa au kuokoa Taifa. Kakorona, mafua tu yanayoondoka kwa kujifukiza, kanaondoa mibuyu na mipingo. Sisi nyasi sijui hatima yetu.Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Kwa muktadha huo ulioeleza pia tukimpoteza jiwe hakika itapendeza sanaIngawa kupoteana na mtu yeyote ni majenzi kwa Taifa hasa akiwa Kijana na talented , Lakini ukumbuke Tz imeisha poteza wengi n.a. ktk umri tofauti na Maisha yanaendelea kuna watu Kama Nyerere, Karume,Sokoine, Shekilango,Eli Ufoo, Kleruu etc etc
Kwa kweli huu ni uuaji. Kiongozi mkuu anawaua wasaidizi wake.Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?