TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Aisee kaondoka komandoo, shushushu mbobezi na mlenga shabaha ambaye hajawahi rusha risasi iwe kwa pistol au bunduki akamkosa mtu sehemu yeyote aliyopania kulenga uuuu

Poleni JWTZ na Usalama Wa Taifa kumpoteza nguli wenu wa ndani na nje ya nchi
Aisee

Om shanti shanti shanti
Alikuwa ni sniper mzuri au umetumia code mkubwa?
 
AISEE HALI NI TETE TUNAKWISHA JAPO WANASEMA HIVI VIFO SIO VYA CORONA ILA KWA NINI IWE WAKATI HUU WA CORONA NDO VIFO VINAZIDI?!
Ukweli bila ya kupepesa macho, kwa makadirio, zaidi ya 70% wanaofariki sasa hivi ni Covid- 19. Askofu Rwakatare, Ndassa na leo Mahiga, wote ni Coronavirus. Mbunge Sugu ametamka wazi Bungeni, na itaendelea kuwepo kwenye hansard, kuwa Askofu Rwakatare na Mh. Ndassa ni wahanga wa Covid-19.

Hakuna aliyebisha wala kupinga. Kwa hiyo imeingia kwenye hansard. Na amesema kuwa takwimu za vifo na maambukizi ya Covid-19 siyo sahihi, hakuna cha mwongozo wala aliyepinga. Japo baadaye Waziri alisema hawafichi takwimu. Hata hivyo hakupinga kuwa takwimu siyo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nchi imepoteza! Asset kama hii unahitaji karne kupata nyingine ...[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa kupoteana na mtu yeyote ni majonzi kwa Taifa hasa akiwa Kijana na talented , Lakini ukumbuke Tz imeisha poteza wengi n.a. ktk umri tofauti na Maisha yanaendelea kuna watu Kama Nyerere, Karume,Sokoine, Shekilango,Eli Ufoo, Kleruu etc etc
 
Waulize waalimu walioko nyumbani sababu ya Korona, watakupa masahibu ya kutoenda kazini.
Muulize Mahiga anayeenda kazini kwa kuunga juhudi kama hata anaweza kukujibu!!

(deep in my heart i lament our past citizens and Mahiga the most)
 
Vifo hivi vinatukumbusha jambo la muhimu kuwa kutokana na hali ilipofikia, kila mmoja wetu haijui kesho yake ila yupo aliyetufikisha hapa. Naamini Mungu anaona! Tunajua hatuna tena pa kukimbilia. Tunabaki tukilia na Mungu ambaye amejidhihirisha kwetu kupitia kiburi na jeuri tuliyofanya.
Hivi hanuoni death rate nchi nyingine, nako unajua aliowafikisha hapo, au ndio muendelezo wa kuongea usichokijua, ambacho kwa ufupi ni ushambenga
 
Ingawa kupoteana na mtu yeyote ni majenzi kwa Taifa hasa akiwa Kijana na talented , Lakini ukumbuke Tz imeisha poteza wengi n.a. ktk umri tofauti na Maisha yanaendelea kuna watu Kama Nyerere, Karume,Sokoine, Shekilango,Eli Ufoo, Kleruu etc etc
Bila kumtaja "Mwamwindi" unakua huja ballance equation.
 
Hivi hanuoni death rate nchi nyingine, nako unajua aliowafikisha hapo, au ndio muendelezo wa kuongea usichokijua, ambacho kwa ufupi ni ushambenga
Kama umekuja hapa kumtetea mtu basi umeshafeli vibaya sana.
 
Sad day indeed; RIP Dkt. Mahiga...
Hapa ndipo tulipofikishwa. Inasikitisha sana. Cha ajabu, bado hatujifunzi chochote. Nadhani hili ni funzo kubwa kwetu wananchi katika kujua ni jambo muhimu kiasi gani kuwa na kiongozi anayeona mbali. Ukweli ni kuwa mtu mmoja naweza kuangamiza Taifa au kuokoa Taifa. Kakorona, mafua tu yanayoondoka kwa kujifukiza, kanaondoa mibuyu na mipingo. Sisi nyasi sijui hatima yetu.

Mungu uliyeruhusu viongozi wetu kuondokewa na hekima, ukipenda unaweza kuwajaza hekima ili macho yao yasiishie mita 100 bali waweze kuona kilichopo kilometa 100,000 mbele.

It is really painful. Dr. Mahiga umeimaliza safari yako. Wengi wanaokufahamu, wanajua hekima yako, na utayari wako katika kusikiliza na kushaurika. Uligombea nafasi ya ukuu wa nchi, haikuwa. Labda pengine ungeweza kutuongoza vizuri zaidi kwenye kujikinga laiti ungekuwa kiongozi mkuu.

Basi hatuwezi kusema zaidi. Kitabu kimefungwa.

Mungu wa Rehema, tunaomba umpokee muja wako. Palipo na mapungufu, aionje huruma yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa kupoteana na mtu yeyote ni majenzi kwa Taifa hasa akiwa Kijana na talented , Lakini ukumbuke Tz imeisha poteza wengi n.a. ktk umri tofauti na Maisha yanaendelea kuna watu Kama Nyerere, Karume,Sokoine, Shekilango,Eli Ufoo, Kleruu etc etc
Kwa muktadha huo ulioeleza pia tukimpoteza jiwe hakika itapendeza sana
 
KYALOSANGI,
Sio jambo la busara kutegemea ushauri wa Mzee Mwanakijiji ambaye mara zote ametufelisha kwa kuunga mkono juhudi na kuwatosa wananchi.
Anapigia chapuo "Nyungu"
 
Back
Top Bottom