Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
bado weweApumzike kwa amani
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado weweApumzike kwa amani
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Kwa nini ukimbe? Unauhakika ukimbiliapo hakuna magumu ya dunia?Maweee ninavyomkubali huyu mzee mwanadiplomasia[emoji22][emoji22][emoji22]
Roho yake ilale mahali pema.
Nachoweza sema ni..
"Niende wapi,niikimbie maagumu. Magumu ya Dunia"
-F.E.Nyanza
Anatuonea huruma tutakufa njaa utadhani tunavyoishi na kula anatusaidia yeye.
Kaaa ndani tulia! Sali tu epuka kushiriki hata Jumuiya! Unless kama kuna jambo walitaka! Usimuamini mgeni wala Rafiki, stay home stay safe
Tuko pamoja sana. Nimenunua gari jipya kwa muda.Amin amin mjomba jambazi
Ndani ya mwezi mmoja wabunge 3 wanakufa ghafla??
Yale maneno ya MH lema yanatimia
Hujamwelewa mwenzako wewe, soma vizuri kabla ya kushambulia! Kosa la ‘waterloo’ Hajatumia alama ? vizuri tu, lakini siyo huko unapopinga Wewe!!nchi tajiri hii acha ujinga
kinapelekwa komorokuna ghala la taifa la nafaka.,na kila mwaka serekali inanunua chakula na kuweka akiba huu ndio wakati sasa wa kutumia hiko chakula
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aina gani boss...! Hongera ingawa id mpya hata sijui ww nan!Tuko pamoja sana. Nimenunua gari jipya kwa muda.
Hili sio suala la uchama....ni janga la kidunia.
Btw, Mheshimiwa Mahiga alikuwa zaidi ya mbunge.
Alikuwa ni nembo ya kitaifa!
R.I.P Balozi.
habari ndo iko hivyo mzeeNa moshi tumeanza kuzikana usiku