TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Ndugai akiitisha bunge now days atajikuta peke ake mjengoni
 
nadhani kuna haja ya kuongeza hatua za kuchukua kukabiliana na hili janga la covid19.,kiongozi wa nchi akiendeleza ukaidi alionao basi itakuwa mmeamua kufanya mauaji ya halaiki katika taifa hili.

wazee wetu wakina mzee mwinyi.,mzee mkapa .,mzee kikwete na wazee wetu wengine jitokezeni hadharani taifa limekosa dira.,hatuna dereva wakutuongoza nyakati kama hizi jitokezeni wazee wetu pengine nyie anaweza akawasikia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maweee ninavyomkubali huyu mzee mwanadiplomasia[emoji22][emoji22][emoji22]
Roho yake ilale mahali pema.
Nachoweza sema ni..
"Niende wapi,niikimbie maagumu. Magumu ya Dunia"
-F.E.Nyanza
Kwa nini ukimbe? Unauhakika ukimbiliapo hakuna magumu ya dunia?

Pambana mkuu hadi mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P Mahiga.

Ila pia licha ya watu kusingizia ni korona, ni uthibitisho tosha kuwa hospitali zetu na madaktari wetu bado hawana ufanisi ktk kutibu magonjwa.

Kuna watu sasa hivi wanafariki sababu hawawezi kwenda kutibiwa nje sababu ya kufungwa kwa anga. Inabidi watobiwe hapa hapa, na matokeo yake ndio haya.
 
Duh kesho sijui zamu ya nani..naona wana siasa waki andika wosia mapema


Mzee wa salamu za pole ana semaje
 
Anatuonea huruma tutakufa njaa utadhani tunavyoishi na kula anatusaidia yeye.

kuna ghala la taifa la nafaka.,na kila mwaka serekali inanunua chakula na kuweka akiba huu ndio wakati sasa wa kutumia hiko chakula


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Taifa limepoteza mtu makini na mwanadiplomasia wakuheshimika R.I.P Dk mahiga nyuma yako mbele yetu
 
Hili sio suala la uchama....ni janga la kidunia.

Btw, Mheshimiwa Mahiga alikuwa zaidi ya mbunge.
Alikuwa ni nembo ya kitaifa!

R.I.P Balozi.


Alikuwa nembo ya Taifa kivipi Au alikuwa nimchumia tumbo wameshindwa kufight corona isiingie Tz mpaka wanakufa kwa corona
 
Back
Top Bottom