nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Taifa limepoteza mwanadiplomasia nguli,
Pumzika kwa amani dr.Mahiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumzika kwa amani dr.Mahiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki nzima hii umekuwa ukipost maujinga. Subiri nyumbani kwenu soonKweni wamekwambia kua ni Corona?hiv wabongo mna nini?
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hii corona naona imeingia Ikulu live mchana kweupe.
Ifike wakati viongozi wa Tanzania wajifunze kujiuzuru pale ushauri wao unapopuuzwa.
Waziri Mkuu na Waziri wa afya ilibidi wawe wamejiuzulu toka siku nyingi.
Sidhani kama msimamo wa Rais ndio msimamo wao, hawana namna sababu ya kulinda vibarua vyao.
Uhai ndio kila kitu hivyo vyeo mnakufa mnaviacha, kama kiongozi mkubwa hataki kufuata ushauri wa wataalamu ni kumwachia serikali aongoze peke yake.
tatizo ubinafsi na kiburiKwani ichi hizi hizi zenye chumi kama zetu mbona wameweza kuwaweka ndani raia zao na wakaweza kuwasaidia? Hapo BOYA nn ww mawazo mafupi kama mkia wa mbuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Mungu anisamehe DUBAI angefaa sana kwenye huu uziBunge limegeuka kuwa machinjioni. Hivi mpaka afe Ndugai ndo hawa wakawekwe karantini? Ulafi wa posho na kiburi cha kutaka kumaliza shughuli as per ratiba KUTAWAMALIZA wote
R.I.P Mahiga
Ama kwa Hakika Taifa limepoteza mtu makini na mwerevu.
Sasa ni wakati kwa Serikali itambue kwamba viongozi wa Juu ambao tunaamini wao ndio wapo katika nafasi nzuri ya kupata matibabu na kinga wanapopoteza maisha wakati huu huku Serikali kutoonesha nia ya dhati kupambana na hili Janga basi huu ni Ujumbe tosha kwa Dunia kwamba Mamlaka zimeshindwa kulinda watu wake na hivyo Nchi haipo salama sasa hivi na siku zijazo hata majanga mengine yatakapotokea.
Mzee; unaleta siasa hata kwenye misiba kabla hata hujajua nini kimemkuta marehemu? Alikuwa anaingia miaka 75, zaidi ya umri wa watu wengine wengi waliotangulia ikiwa ni pamoja na Mwalimu Nyerere, Steve Jobs, Steven Kanumba na wengineo weng.Omboleza bila kuweka siasa, siyo kila baya linapotokea nchini ni kwa sababu ya serikali; mwishowe utalalamika kuwa mvua kunyesha au kutonyesha ni kosa la serikali pia.R.I.P Mahiga
Ama kwa Hakika Taifa limepoteza mtu makini na mwerevu.
Sasa ni wakati kwa Serikali itambue kwamba viongozi wa Juu ambao tunaamini wao ndio wapo katika nafasi nzuri ya kupata matibabu na kinga wanapopoteza maisha wakati huu huku Serikali kutoonesha nia ya dhati kupambana na hili Janga basi huu ni Ujumbe tosha kwa Dunia kwamba Mamlaka zimeshindwa kulinda watu wake na hivyo Nchi haipo salama sasa hivi na siku zijazo hata majanga mengine yatakapotokea.
nimemuuliza Polepole wewe unachapa kazi wapiiSasa mbona huyo magufuli wenu amejilokdown huko chato halafu anawaambia wananchi waendelee kujichanganya kuchapa kazi? Huyu so anataka kutuua huyu kiongozi gani sasa huyu.
Tunapompigia kelele Magufuli achukue hatua za kuwalinda watanzania huwa mnatubeza sana na kutuita majina ya ajabu ajabu.Pole sana familia ya Mahigha. Binafsi nafahamiana wa watoto wake. Pumzika kwa amani mzee wetu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Weka pichaPole sana familia ya Mahigha. Binafsi nafahamiana wa watoto wake. Pumzika kwa amani mzee wetu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Si Ulisikia CAG naye hali tete?Mungu wangu huyu si alikuwa mzima juzi tu hapa..
Naanza kupata wasiwasi na wale wote walioshiriki kikao cha kupokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) pale chamwino dodoma hasa mawaziri na viongozi wengine wakubwa wa nchi...
Kwa maslahi ya afya zao ni vyema wakaanza kuchukua hatua mapema...
COVID-19 is real guys. Apumzike kwa Amani bwana Balozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku Mtaani ambapo vifo ni vingi kuna nini au wao wanasitahili kufa!SIO MASIHARA HII NDIO INAITWA.....
WHO NEXT??
UKIKOHOA KIDOGO TU NDIO UNAOGOPA ZAIDI...
NAJIKUTA NAANZA KUWAZA HUENDA KUNA
IMPLANTED CORONA BUNGENI DODOMA WASIPO CHUKUA TAHADHALI NAOGOPA TUSIJE POTEZA ICON NYINGI ZA TAIFA KWA MKUPUO.
WALIO KARIBU NA VIONGOZI WAWAFIKISHIE HUU UJUMBE
Unataka bunge listishwe kwa maana ya kutokutishwa au unamaanisha lisimamishe shughuli zake ?Bunge lisitishwe
Bado mimi na MAGUFULIKila nafsi itaonja mauti!