Hata wewe kabla ya Jiwe, kwani hakuna ajue saa atakayo kujaKwa muktadha huo ulioeleza pia tukimpoteza jiwe hakika itapendeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe kabla ya Jiwe, kwani hakuna ajue saa atakayo kujaKwa muktadha huo ulioeleza pia tukimpoteza jiwe hakika itapendeza sana
Unashangaa idadi hiyo! Vuta subira kidogo majibu utayapata.Mbona unakuwa mshambenga kwa kuchanganya, mabua na mahindi.
70% umeipata wapi hayo ndio mabua,
Mahindi ni Hicho cha Rwakatare na Ndassa, Cha Balozi bado hatujaambiwa, hivyo acha kuongea kama mtoto wa kike
Jiwe litoswe tu!Hata wewe kabla ya Jiwe, kwani hakuna ajue saa atakayo kuja
Mwaka hautakuwa mgunu na hatari kwa wazee bali kwa watu wote. Unatakiwa kufahamu:Sad news. Huu mwaka ni wa hatari kubwa kwa wazee.
Kwa hiyo wewe umekuja kumuangusha mtu au kutembeza umbeya basi umefanikiwa kama Binti mfalme anavyoonekana kama ni mzuri kupita wanaweka woteKama umekuja hapa kumtetea mtu basi umeshafeli vibaya sana.
Hela ya uchaguzi naioyona Kama ulaji wa watu tuBadala ya kununua magari ya uchaguzi, hela hizo ingempa Bakhresa agawie watu chakula dar kisha wasitoke ndani kwa siku angalau 14.
Kocha mchezaji kashausoma mchezo sasa kaingia mwenyewe.
Kwani umelazimishwa kutoka kwako wewe si jilock down mwenyewe asee
Waziri Mkuu na Waziri wa afya ilibidi wawe wamejiuzulu toka siku nyingi.
Sawa mshambenga ombi lako limesikika nenda kakoleze na lipstick ushambenga ukoleJiwe litoswe tu!
Kama coona ina masikio naiomba isikie.
Sniper hata ukae katikati ya abiria kiti cha watu watatu kwenye daladala akiwa landrover la wazi kikukimbiza daladala akiambiwa akulambe anakulamba Wewe peke yako hata aambiwe amimine risasi 20 hazimgusi abiria mwingine Mzee alikuwa Wa mission impossible ngumu ndio wanamtuma akija huponiAlikuwa ni sniper mzuri au umetumia code mkubwa?
Agustino wote mkae mkao wa kula week hii ni yenu. Alianza jaji mstaafu sahivi mzee Mahiga...next hatujui ni nani
Hukumsikia yule mpuuzi Mollel Mbunge wa Siha alipokuwa akitoa uharo wake Mjengoni jana. Aje aendelee kumtetea tena kwa hili.Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Kwahiyo pana chaguo hapo, ajira au uhai. Uamuzi unao mwenyewe!Wewe ni mpumbavu. Mimi ni mfanyakazi wa siri kali,nisipoonekana job bila taarifa na maelezo ya kueleweka mwajiri wangu ananichukulia hatua. Automatically bila official declared lockdown toka kwa mwenye mamlaka,sitakuwa na cha kujitetea zaidi ya kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za kazi idarani kwetu. Hapo unaona bado kuna kujilock down mwenyewe!!??
Sikuwahi kujua hili. Asante kwa taarifa mkuu.Sniper hata ukae katikati ya abiria kiti cha watu watatu kwenye daladala akiwa landrover la wazi kikukimbiza daladala akiambiwa akulambe anakulamba Wewe peke yako hata aambiwe amimine risasi 20 hazimgusi abiria mwingine Mzee alikuwa Wa mission impossible ngumu ndio wanamtuma akija huponi