TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Mbona unakuwa mshambenga kwa kuchanganya, mabua na mahindi.
70% umeipata wapi hayo ndio mabua,
Mahindi ni Hicho cha Rwakatare na Ndassa, Cha Balozi bado hatujaambiwa, hivyo acha kuongea kama mtoto wa kike
Unashangaa idadi hiyo! Vuta subira kidogo majibu utayapata.
 
hivi bashite yupo wapi? au na yeye kakimbia jiji?
 
Pumzika kwa amani Balozi Mahiga, mwana mwema wa mama Tanganyika
 
Daaah kifo hakina huruma. Hakika huyu alikuwa ni mwanadiplomasia nguli!
 
Sad news. Huu mwaka ni wa hatari kubwa kwa wazee.
Mwaka hautakuwa mgunu na hatari kwa wazee bali kwa watu wote. Unatakiwa kufahamu:
1) Viongozi wengi ni wazee
2) Wafanyabiashara wakubwa ni wazee
3) Wawekezaji wakubwa ni wazee
4) Wakurugenzi wengi ni wazee
5) Wataalam wakubwa na wenye uzoefu ni wazee

Hao vijana hata wakibakia, wataathitika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umekuja hapa kumtetea mtu basi umeshafeli vibaya sana.
Kwa hiyo wewe umekuja kumuangusha mtu au kutembeza umbeya basi umefanikiwa kama Binti mfalme anavyoonekana kama ni mzuri kupita wanaweka wote
 
Badala ya kununua magari ya uchaguzi, hela hizo ingempa Bakhresa agawie watu chakula dar kisha wasitoke ndani kwa siku angalau 14.

Kocha mchezaji kashausoma mchezo sasa kaingia mwenyewe.
Hela ya uchaguzi naioyona Kama ulaji wa watu tu
 
Wewe ni mpumbavu. Mimi ni mfanyakazi wa siri kali,nisipoonekana job bila taarifa na maelezo ya kueleweka mwajiri wangu ananichukulia hatua.

Automatically bila official declared lockdown toka kwa mwenye mamlaka,sitakuwa na cha kujitetea zaidi ya kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za kazi idarani kwetu. Hapo unaona bado kuna kujilock down mwenyewe!!?
Kwani umelazimishwa kutoka kwako wewe si jilock down mwenyewe asee
 
Nimelifikiria hili kipindi kirefu. Kwa nini sisi ni wagumu kujiuzuru? Yaani mtu anaamrisha usitoe taarifa wakati unajua ni wrong na wewe unazima taarifa badala ya kujiuzuru! Mtu anasema chlorine haifanyi kazi kwa hiyo isitumike, wakati unajua kuwa chlorine inafanya kazi dunia nzima na inaua corona, lakini unanyamaza tu! Mtu anasema watu wajifukize na waendelee kupiga kazi kama kwaida, wakati wewe mtaalam unajua haitakiwi kuwa hivyo, halafu unanyamaza tu, ili uendelee kuwa Waziri ama Katibu Mkuu! Kweli? Nini maana ya kusoma sasa?
Waziri Mkuu na Waziri wa afya ilibidi wawe wamejiuzulu toka siku nyingi.
 
Kama wao ndiyo baraza la mawaziri na wanamuogopa godfather kumpa ukweli na kujiuzuru hawataki labda wakipukutishwa kadhaa ndo akili zitawakaa.
 
Alikuwa ni sniper mzuri au umetumia code mkubwa?
Sniper hata ukae katikati ya abiria kiti cha watu watatu kwenye daladala akiwa landrover la wazi kikukimbiza daladala akiambiwa akulambe anakulamba Wewe peke yako hata aambiwe amimine risasi 20 hazimgusi abiria mwingine Mzee alikuwa Wa mission impossible ngumu ndio wanamtuma akija huponi
 
Unajifungia ndani chato huku unamwambia wenzako endeleeni kuchapa kazi Kama wewe siyo muuaji ni nani?
Hukumsikia yule mpuuzi Mollel Mbunge wa Siha alipokuwa akitoa uharo wake Mjengoni jana. Aje aendelee kumtetea tena kwa hili.

Mh Mbowe Mungu amlinde na kumpigania kwani aliona mbali. Huu ugonjwa haujali cheo wala chama wala kiasi cha fedha ulizonazo. R.I.P. Mheshimiwa Mahiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu. Mimi ni mfanyakazi wa siri kali,nisipoonekana job bila taarifa na maelezo ya kueleweka mwajiri wangu ananichukulia hatua. Automatically bila official declared lockdown toka kwa mwenye mamlaka,sitakuwa na cha kujitetea zaidi ya kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za kazi idarani kwetu. Hapo unaona bado kuna kujilock down mwenyewe!!??
Kwahiyo pana chaguo hapo, ajira au uhai. Uamuzi unao mwenyewe!
 
Sniper hata ukae katikati ya abiria kiti cha watu watatu kwenye daladala akiwa landrover la wazi kikukimbiza daladala akiambiwa akulambe anakulamba Wewe peke yako hata aambiwe amimine risasi 20 hazimgusi abiria mwingine Mzee alikuwa Wa mission impossible ngumu ndio wanamtuma akija huponi
Sikuwahi kujua hili. Asante kwa taarifa mkuu.
 
Back
Top Bottom