TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

Sasa ni wakati kwa Serikali itambue kwamba viongozi wa Juu ambao tunaamini wao ndio wapo katika nafasi nzuri ya kupata matibabu na kinga wanapopoteza maisha wakati huu huku Serikali kutoonesha nia ya dhati kupambana na hili Janga basi huu ni Ujumbe tosha kwa Dunia kwamba Mamlaka zimeshindwa kulinda watu wake na hivyo Nchi haipo salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katik watu imara kwenye serikali ya magu nj huyu mtu. Nilikuwa namwamini sana. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake pahala pema peponi
 
..sir I thank you with all my heart, I am saddened beyond belief to learn that you are gone. Umetangulia kwenye neema, wasalimie wote huko.
Rest In Peace Sir!
Poleni sana Family.
 
Ni kawaida mtu akishafariki sifa hua nyingi sana na mabaya hayazungumzwi katu.

Ila kizuri zaidi nilichoona hakuligeuza taasisi ya usalama aliyoiongoza kuwa genge la magaidi (Wasiojulikana). RIP.
 
Yaani mie nna pumu baba ana pumu na sukari .naogopa hata kupanda bus noende leo najihis chizi fresh kbs..! Eh Mungu nilindie jembe langu!ila mie sijihofii kbs...namhofia dingilai uwiii[emoji56][emoji56][emoji56]
Tuko kwenye same boat,namhofia mama yangu japo hana ugonjwa wa kidumu. Hii corona imeleta ugonjwa depression Na bp kwa watu wengi sana[emoji29][emoji29].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtamlaumu bure tu, Jiwe alisema mwenyewe ameshachoka haiwezi kazi ya Urais ila amelazimishwa tu, kwa hiyo inatakiwa kuridhika na matokeo. Kuonesha msisitizo kakimbilia zake Chato , msipomuelewa basi tena
Tumeshaelewa mkuu
 
Bunge linaweza kuifosi serikali kuchukua hatua stahiki dhidi ya ugonjwa huu hata kwa kukataa kijadili budget ya mwaka ujao . Bahati mbaya tuna bunge kibogoyo linaloendeshwa kwa kutegemea huruma ya Rais [emoji29][emoji29][emoji24][emoji24],,hata wao wamekua victims japo mamlaka wanayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa. Lakini hapa itabidi tu waache unafiki kwani hali ni ya hatari mno. Hata mashangingi, hata posho, hata vyeo walivyonavyo havishindi uhai.
 
Back
Top Bottom