Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwalimu nmeshamshtukia waga namchora tu anapenda kujifanya mpizani kumbe li Afsa usalama jinga kabisa lipo na baskel kama litoto kuna mkoa nikaenda nikalibamba limekula suit matata na watu wa ajabu ajabuUsalama wanaonekana ila huwezi kuwatambua kuwa ni usalama maana hawana vibandiko usoni.
Mtu yoyote anaweza kuwa usalama katika mazingira yako ila kumtambua ni bidii yako.
kweli alikuwa kachero mzalendo aliacha usia akifa azikwe na jeshi la akiba?Pengine ni mgawanyo wa majukumu ama ni usia wa marehemu
Jr[emoji769]
Ibaki kuwa siri yako aendelee kutimiza majukumu ya serikali na taifa.Kuna mwalimu nmeshamshtukia waga namchora tu anapenda kujifanya mpizani kumbe li Afsa usalama jinga kabisa lipo na baskel kama litoto kuna mkoa nikaenda nikalibamba limekula suit matata na watu wa ajabu ajabu
e kweliHao ni usalama wa Taifa si unasikiaga wapo kila sector? [emoji23]
asante sana kw elimu nzuri ubarikiwe sana mkuu, je ndo abebwe na mgambo?hata mie nisingekubal kubebbwa na watu wanao gombanaga na mamantilie tu Tanzania.Mahiga sio generali mpaka azikwe kijeshi na hajawai kuwa mkuu wa TISS kisheria ndio maan hta rais alivoita wakuu waulinzi na usalama wastafu mahiga hakuwa miongoni mwa wakuu wa idara ya usalama waliohudhuria au wanaotajwa..usalama wa taifa ulianza rasmi 1996 chini ya Tanzania intelligence security Act 1996. Zamani usalama wa taifa haukuwepo kisheria japo idara iliofanya kazi kama usalama wa taifa ilikuwepo but haikutambulika kisheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaomba JF Mods wakulekebishie au wakurekebishie Ndugu? Je, waanze Kwanza Kurekebisha Kiswahili chako au TIS yako?
Hata mimi uyu jamaa baada ya siku kadhaa akipost picha kajichanganya kaandika at another sector status WhatsApp nika piga tiki uyu mweweIbaki kuwa siri yako aendelee kutimiza majukumu ya serikali na taifa.
Mimi ukiniweka kwenye kundi la watu 10 wawepo 3 ambao ni Usalama nikikaa nao na kuongea kwa muda najua huyu mtu kitengo.
Nina rafiki yangu mmoja nilikutana naye kwenye mazingira ya kazi hadi leo huwa namfanya acheke kila tukionana.
Nani alikwambia wote lazima wawe wamesoma? Haihitaji msomi akawe mama ntilie kwa kivuli cha undercover ila mtu yoyote anayefaa hutengenezwa kwa elimu yake hiyo hiyo ila mara nyingi hawa ni INFORMER.wengi wakipangwa jeshi la Akiba uwa wanakimbiaga wewe utakubali umesoma alafu kazi yako ni kumwaga vyakula vya mama ntilie kweli?e kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimgundua potezea acha atimize majukumu yake. Mimi wengi niliowagundua ni marafiki zangu japo sijawahi kumwambia chochote kuhusu ugunduzi wangu.Hata mimi uyu jamaa baada ya siku kadhaa akipost picha kajichanganya kaandika at another sector status WhatsApp nika piga tiki uyu mwewe
watakavyotaka wao ujumbe umeupata au wajifanya mwalimu wa mwandiko hapa jf na hivi shule zimefungwa tutakoma sie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wale waliotafuta kazi wakakosa walipopata wakaanza fujo mtaani.Labda zamani siku hizi tunashindanae kwenye Pub kama kawa na tunawajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Familia ya Mheshimiwa Mbowe ilimkosea nn hadi kufurahia mmoja wa wanafamilia hao kupatwa na virus vinavyosababisha kifo?Wajameni haka ka boy kamekukosea nn hadi ukawazie kudedi soon?