Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Duuh!!Nimekumbuka msiba mmoja ivi wa shoga alikua anaitwa aunty Mau...yaani walijaa mashoga wenzake na sare ya vijora walivaaAliumwa sana miezi kadhaa ,akawa hadi kichaa maskini.mashosti walimsitiri tu fresh