Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hahahahahahaha uwiiiiiiNikiamua tu binamu , two in one, kote kunafanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha uwiiiiiiNikiamua tu binamu , two in one, kote kunafanya kazi
Sisi hapa humu ,tulikuwa tunachamba kule kwenye coment wengine wanajisajili kwa majina yetu ya huku jf basi mvurugano tupuNani hao walichambwa?? Ila ile blog ilikua tamu kweli. Umbea woote wamjini unaukuta kwenye comments.
Mchumba umemaliza kazi?
Kimya Kimya Hupati Danga
HahahahahahahahAaaaaah mbwa wewe , biashara matangazo, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi hapa humu ,tulikuwa tunachamba kule kwenye coment wengine wanajisajili kwa majina yetu ya huku jf basi mvurugano tupu
Hata watu walikuwa wanachambana kule wanaojuana wanakuja kujijibu nilikuwaga nakufa mbavu
Wewe unachoongelea na kutetea ni kipi hasa kama sio ubwabwa unakukereketa kuutetea? Are you bwabwa?Acha umbea, Elton John kawa shoga miaka mingapi? Nae kafa ? Mxiew uchawi tu , kila Nafsi itaonja umauti
Nasema mashoga wanaojitangaza binamu wawe wanaliwa kimya kimya sio nguvu wanazotumia kutafuta madanga
Binam akikukuta hapa usikimbilie pm
Umeolewa na nanii
Ahhahahahaha nijibu basi pm jana hukunimalizia bana unaniudhiNilikua mafunzoni najifunza kuchamba ngoja aje nimuonyeshe
NakunyaaaaaaaaaaaaOmmy dimpoz
Warumi anaomba mchango
Msiba wa taifa ulikua wa Aggy. Huu wa leo ni wa mashoga na wafuga mashoga
Tulichambwaaaaa zamani humu mbona ilikuwa tifu kila siku,tukiwazidi tunaenda chambwa kwa sinta,zamani humu ilikuwa hivi tunakuwa na timu ukichamba mmoja unalo utachambwa watu tulikuwa tunalambwa ban kila siku ,warumi ndio usiseme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tenaaa akae mbalii pesa kwanza