TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

Nani hao walichambwa?? Ila ile blog ilikua tamu kweli. Umbea woote wamjini unaukuta kwenye comments.
Sisi hapa humu ,tulikuwa tunachamba kule kwenye coment wengine wanajisajili kwa majina yetu ya huku jf basi mvurugano tupu

Hata watu walikuwa wanachambana kule wanaojuana wanakuja kujijibu nilikuwaga nakufa mbavu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha umbea, Elton John kawa shoga miaka mingapi? Nae kafa ? Mxiew uchawi tu , kila Nafsi itaonja umauti
Wewe unachoongelea na kutetea ni kipi hasa kama sio ubwabwa unakukereketa kuutetea? Are you bwabwa?

Habar za umri wa Elton John na kupunguza miaka 20 ya life span yako kipi kimekukanganya hapo? Unaijua life span aloandaliwa huyu bwana? Mxiewwww nikiona Kenge kama wewe unatetea ushoga nataman udumbukizwe kwenye kisima cha sementi ya moto kiwandani.[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulichambwaaaaa zamani humu mbona ilikuwa tifu kila siku,tukiwazidi tunaenda chambwa kwa sinta,zamani humu ilikuwa hivi tunakuwa na timu ukichamba mmoja unalo utachambwa watu tulikuwa tunalambwa ban kila siku ,warumi ndio usiseme
We sijui ulikuwgaa wapi
 
Back
Top Bottom