Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Pole Kibonde.Mama Kibonde alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani?
Kansa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Kibonde.Mama Kibonde alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani?
Hivi wewe uko dunia hii kweli?Pole Kibonde.Mama Kibonde alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani?
Saratani ni ugonjwa mbaya sana.Pole kwa famiia
Niko present mkuu.Hivi wewe uko dunia hii kweli?
sasa wenzako tunahuzunika kwa kifo cha kibonde, wewe unamuuliza marehemu kuwa mke wake alikuwa anaumwa niniNiko present mkuu.
Mkuu mke na mume wamefariki katika kipindi kifupi.Pamoja na kuomboleza bado tungependa kujua kilicho wasibu.Si kawaida kwa watu wa familia moja kuongozana kufariki.sasa wenzako tunahuzunika kwa kifo cha kibonde, wewe unamuuliza marehemu kuwa mke wake alikuwa anaumwa nini
Mkuu yametimia dah! Unaweza kuitwa mchawi
Numbisa mbona waishia kuguna mkuu
mkuu, kweli wewe una power within youDah, mkuu imekuwa vilevile, sijui kuna siri gani kwenye hili, so sad
Mkuu kwa hiyo unanishauri nifungue kilinge cha kupiga ramli chonganishi!
fungua mkuu, utapiga pesa sana kwa kizazi hiki cha wapenda miujizaaMkuu kwa hiyo unanishauri nifungue kilinge cha kupiga ramli chonganishi!