TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

sasa wenzako tunahuzunika kwa kifo cha kibonde, wewe unamuuliza marehemu kuwa mke wake alikuwa anaumwa nini
Mkuu mke na mume wamefariki katika kipindi kifupi.Pamoja na kuomboleza bado tungependa kujua kilicho wasibu.Si kawaida kwa watu wa familia moja kuongozana kufariki.
Pole sana kwa familia na hususani kwa watoto ambao wameachwa yatima.Bwana ametoa Bwana ametwaa.Njia yetu ni moja.
 
RIP Kibonde, nimeona videos kama tatu hivi inaonekana marehemu alihisi siku zake za kuishi sio nyingi sana.alikua anaona kifo mbele yake.Mungu akupe kauli dhabiti.
 
Back
Top Bottom