TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

5. Natabiri: - Vifo vya Vijana
vikiongozana na mauaji ya
kupanga vitakuwa jambo la
kawaida kwenye Mwaka huu na
wahusika zaidi ni Wasanii wa
fani zote wakiwemo Waandishi
wa Habari .

1.kuambiana,
2.r.haule
3.g .tyson
 
Mungu amlaze pema peponi.mchango wake katika kuinua tasnia ya filamu Tanzania utakumbukwa daima.pole pia monalisa kwa msiba wa mumeo
 
Hapa hatuna mji udumuo, bali twautazamia ule ujao. Alazwe anapostahili.
 
Attachments

  • IMG-20140531-WA000.jpg
    IMG-20140531-WA000.jpg
    20.4 KB · Views: 621
  • IMG-20140531-WA001.jpg
    IMG-20140531-WA001.jpg
    51 KB · Views: 611
Wanabodi, Baada ya msiba wa producer Adam Kuambiana na baadae msaani Recho, leo gazeti la MWANANCHI 31/05/14 07:59 limetuma sms kuwa
MWANDAAJI WA FILAMU AFARIKI: Mkurugenzi wa filamu George Tyson amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Gairo akitokea Dodoma usiku wa kuamkia leo.

My Take.

Kwa maoni yangu, George Tyson ndiye the best local movies producer tuliyenaye so far.

Alikuwa ni Mume wa kwanza wa Msanii wa Bongo Movies Monalisa.

Poleni sana Bongo Movies.

Poleni wafiwa.

RIP George Tyson.

546321_501263163218696_213164398_n.jpg

George Tyson
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.
Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya kifo hichi ikikumbukwa kuwa ni siku tano tu zimepita tangu mwigizaji Rachel Haule alipotutoka.

Chanzo:bongomovie

Screen-Shot-2014-05-31-at-3.46.30-AM.png

Gari alilopata nalo ajali.
Screen-Shot-2014-05-31-at-3.46.12-AM.png
 
Daah am speechless, inabidi tujiandae wapendwa, muda wowote tutaiaga hii dunia. May your gentle soul rest in perfect peace. Poleni sana wafiwa na wote walioguswa na msiba huu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Msanii na gwiji wa kutengeneza filamu,mume wa zamani wa Monalisa na muanzilishi wa kipindi cha Mboni talk show,George Otieno Tyson amefariki kwa ajali ya gari Morogoro leo. Source:ITV habari mpasuko.
 
Kwahyo wataka wafe watu ambao so maarufu kila m2 kapangiwa tarehe/mwaka/siku/saa/dakika/sekunde atakayoaga dunia kilichopo ni kuwaombea wapumzike kwa amani (R.I.P TYSON)
 
Wanabodi, Baada ya msiba wa producer Adam Kuambiana na baadae msaani Recho, leo gazeti la MWANANCHI 31/05/14 07:59 limetuma sms kuwa
MWANDAAJI WA FILAMU AFARIKI: Mkurugenzi wa filamu George Tyson amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Gairo akitokea Dodoma usiku wa kuamkia leo.

My Take.

Kwa maoni yangu, George Tyson ndiye the best local movies producer tuliyenaye so far.

Alikuwa ni Mume wa kwanza wa Msanii wa Bongo Movies Monalisa.

Poleni sana Bongo Movies.

Poleni wafiwa.

RIP George Tyson.

Pasco.

Monalisa alonga
 
Msanii na gwiji wa kutengeneza filamu,mume wa zamani wa Monalisa na muanzilishi wa kipindi cha Mboni talk show,George Otieno Tyson amefariki kwa ajali ya gari Morogoro leo. Source:ITV habari mpasuko.
Muheshimiwa ndo kwanza unaamka nini? tayari kuna uzi wa habari hiyo humu tangu saa 9 usiku.
 
Haya magari mnanunua hovyohovyo Japan na kujiendeshea kama pro....mjue yanachinja. Muwe mnaenda proper driving school na myaheshimu magari....yanaua...sawa vijana??..

Out.
 
Back
Top Bottom