TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

kunani huko bongo movie?ama kweli israel mtoa roho kawaamulia.
 
kunani huko bongo movie?ama kweli israel mtoa roho kawaamulia.

Hebu acheni kutengeneza mambo ambayo hayapo hivyo....huko mochwari wapo bize kila kukicha tofauti ni kuwa wanaofariki wapo wanaofahamika na wengi (kama huyo G Tyson) na wapo wale "wanainchi wa kawaida" ambao mambo yao yanaenda kimyakimya...lakini mwisho wa siku kifo ni kile kile.

Na kama kuna kundi linalopoteza wapendwa wao kwa wingi basi sio wasanii, wabunge wala wanamichezo.....ni wanainchi wa kawaida.

Ungekuwa na taarifa walizo nazo wale watumishi wa Mochwari sijui ungeongea nini hapo.


..........RIP G. TYSON.....wote twaelekea huko.
 
duu inasikitisha sana...may his soul rest in peace
 
kazi yake mora haina makosa atafanya atakalo atafanya awezalo dunia ni yake haina........

Wewe acha kumsingizia Mungu kila kitu kibaya Mungu ajali nyingine shetani ndie anayehusika iliyobaki ni kuzivunja zile roho za mauti Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema na hapendi tufe vifo vya aina hii tuwe tayari kwa vile hatuijui siku wala saa atakapokuja mwana wa Adamu kuja kunyakuwa kilichokuwa chake tukeshe na kusali .
 
You only live once,kweli ujumbe wa kwenye tishet umedhirisha kuwa hakuna maisha mawili,hiyo nguo ni kama vile alikuwa anahisi kifo sijui.RIP George,unanikumbusha harusi ya monalisa na na ile ya amina chifupa.
 
Back
Top Bottom