serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
bongo movie wamrudie mungu sasa
Is that a guarantee ya kutokufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bongo movie wamrudie mungu sasa
sasa kwa mwendo huuu dah tuombe mungu sana... maana itakuwa kama laana
kwa hiyo unataka kuhalalisha hii mambo kuwa is just kawaida kama ilivyokua mwazo ua......Hapa mtaani kwetu tumezika watu watatu jana..
Ndo nani huyu?
kunani huko bongo movie?ama kweli israel mtoa roho kawaamulia.
kunani huko bongo movie?ama kweli israel mtoa roho kawaamulia.
asee bongo movie imeandamwa sana r.i.p bro
Kwani alikuwa bado ameoana na Mona?MAP
Mbona kuna sredi nyingine inasema mboni yupo salama alikuwa kwenye vx gari nyingine? Mods ingilieni kati tupate habari za uhakika JF ndio chanzo cha habari za uhakika.
kazi yake mora haina makosa atafanya atakalo atafanya awezalo dunia ni yake haina........