Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
System ni ile ile.. Hata Med Mpakanjia aliondoka hivi hivi.Hata mimi nina wasiwasi na hii kitu na uumwaji wake wa ghafla....
Umri mdogo sana kumiliki ukwasi ule kihalali.Amezaliwaa 12/12/1977 ko amefariki akiwa na miaka 39 na miezi kadhaa
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhKuna mkono wa Dangote hapa.
R.I.P
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata kama alikuwa apone kitendo cha Zari kumtembelea Hospital kilimstua Israel Mtoa roho aisee.
Ni 39 mkuu sio 29...Sasa hapo kajitabiriaje!?!?
Wabongo acheni roho za marehemu zipumzike kwa amani.
Jamaa alikua na age ya miaka 29 na miezi kadhaa.
Kafiriki kwa kwa ugonjwa wa moyo!
Hata kama kifo ni lazima.
Him leaving at this age, nadhani lifestyle yake imechangia sana his early demise.
Oh! Ushakua kua kidogo siku hizi witnessj?! Manake wakati ule ilikuwa ukipigiwa psiiii, unakimbia!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usinichekeshe mkuu asubuhi asubuhi, tuko msibani[emoji40] [emoji40]
Kuwepo mama peke katika malez haitoshi ndugu na ndio maana walishirikiana kutafuta hao watoto ni mtihan mzito sana haya mambo yaone kwamwenzio tu yaanSasa watoto siwapo na zari