TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu

Apumzike mahala alipojichagulia mganga wa kienyeji Ivan.. Somo kwa tuliobaki Duniani, shetani hanaga urafiki na binadamu, hata umtendee mema elfu mia...
 
Mali, mali, mali Zari alijua akapata pengine pa kujiegesha zitapukutika kama upepo ni bora anapo pengine vinginevyo tungeanza kula milenda wote.
 
Thebosslady
 

Attachments

  • Screenshot_2017-05-25-10-42-58.png
    Screenshot_2017-05-25-10-42-58.png
    197.2 KB · Views: 36
Rest in Peace Ivan Semwanga. Pole Zari na wanao. Poleni Richgang
 
what happened to this 'dude' in the first place?
alifanyanini mpaka akalazwa?
 
Mungu awepe ujasiri wanae, maana aliwajali Sana wanae, Kama Baba muda mwingi akiwa nao, na wamezoea Kuishi na Baba yao, Hakika alikuwa Baba bora kwa family, kinyume na Mama yao. R. I. P
 
Sasa hapo kajitabiriaje!?!?
Wabongo acheni roho za marehemu zipumzike kwa amani.
Jamaa alikua na age ya miaka 29 na miezi kadhaa.
Kafiriki kwa kwa ugonjwa wa moyo!
Hata kama kifo ni lazima.
Him leaving at this age, nadhani lifestyle yake imechangia sana his early demise.
Ni 39 mkuu sio 29...
 
Oh! RIP Ivan...

I guess Lawrence atakuwa kwenye msiba mkubwa zaidi kuliko Zari... ndo ile watoto wa mjini wanasema "watoto wa marehemu wamenyamaza kulia, mpambe ndo kwanza analiamsha!!!"
 
RIP bro duniani tunapita, watu wengi wanakufa Allah tupe nguvu kuelekea kaburi
 
Back
Top Bottom