TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku huu



Kwa hiyo na wewe umetoa laana? Wabongo bhana mnapeenda mambo ya laana laana sijui ni kwa nini? Ni umaskini au?
 

Mbona nakuona una aki lza kijima sana kuliko hata sisi vikongwe?

Kwa hiyo wewe unataka hata kama watu wanashindana waendelee kukaa wote kwa kuwa wanaume tutakufa na kuwaachia majonzi?

Unafahamu kwamba kuachana kunaweza kuongeza ustawi katika maisha na malezi ya watoto kuliko mnavyowaua watoto kisaikolijia vile wanavyokua wakishughudia mnagombana na kudhalilishana kila sku?

Unaelewa kwamba umbali unaweza kuumba amani na ustarabu mzuri kwa maisha ya wahusika wote?

Kwa mtazamo wako wewe, unamaanisha watu wakiachana kwa tofauti katika upande mmoja basi mazuri yao wote yafe? Unaelewa kwamba mtu anaweza kuwa great man kwa ubunifu wa kibiashara lakini asiwe a good lover?
Unafahamu mtu anaweza kuwa handsome na mchapa kazi lakini akashindwa kukaa na mwanamke kwa ajli ya kutokujali ndugu, ubinafsi ama kiburi?

Unaweza kuelewa kwamba mtu anaweza kuwa na kila kitu lakini maumbile mkashindwana?

Unaweza kufikiria mtu anaweza kuwa great in all other things lakini akawa mshirikina na mwenziye asikubaliane naye?

Kwa hiyo unataka kwamba mkitofautishana kiasi cha kutokuvumiliana katika nyanja moja, basi yale mazuri ya mwenxiyo usiyaseme?

Kwa hiyo Zari angelkuwa naye mauti insingemfika? Au labda unataka Dai awe na mtu mwingine?

NINADHANI SI BUSARA KUMTUKANA ZARI ETI KAMSIFIA EX WAKE AS IF KUACHANA NI UADUI.
MBONA HUKUMKATAZA KWENDA KUMWUGUZA?
UNADHANI WANGELIKUWA NA UADUI KAMA UNAOUTAKA WEWE, NANI ANGERUHUSU ZARI KUKAA NAYE AKIWA KWENYE COMMA?

ETI UMALAYA!, WEWE UNAJUA NI KITU GANI KILIMFANYA ZARI WAKAACHANA HADI AKAKUTANA NA DIAMOND?

ACHENI KUINGILIA MAHUSIANO YA WATU. KAMA ULIVKUWA UNAJALI SANA,ULITAKIWA KUWASULUHISHA BADALA YA KUJA NA COMMENTS ZENYE CHUKI. MAPENZI HAYALAZIMISWHI, YAKIISHA YAMEISHA LAKINI HATA YAKIISHA HAKUNA MTU MBAYA AMA MZURI KILA ENEO. ZURI LINASEMWA NA BAYA LINASEMWA.

WMACHENI ZARI JAMANI. NAYE NI BINADAMU TENA ANA DAMU NA NYAMA KAMA WEWE.
 
Out of point, three baby boy not five.
 
Kwa hiyo na wewe umetoa laana? Wabongo bhana mnapeenda mambo ya laana laana sijui ni kwa nini? Ni umaskini au?

Ni ujinga, wivu na umaskini. Mtu mwenye uelewa, hawaezi kulaizmisha mapenzi hata siku moja.
 
kweli nimeona umuhimu wa subra.sasa hivi angekula urithi wake kwa raha zake .sasa hivi sijui anaendaje kudai vitu vya marehemu hata kama ni kwa ajili ya wanae.ndo maana wanawake wengi huwa wanavumilia ndoa kwa ajili ya watoto wao
Kwani Diamond ndio alimtoa kwa Ivan? Fuatilia vizuri then hukumu
 
We ulitakiwa uwe kaburini basi,yani una mlaumu mzazi mwenza wa marehemu!!! Ila poa,ndo ulivyo
 
Ahsante sana, umemaliza kila kitu
 
Mkuu soma kwa makini sio kuandika vitu kedekede bila kujua point yangu hasa ni nn?? By the way umenena mengi ambayo hata mm sikuyagusia..ama umeandaa huo ujumbe kabla au unajibu maswali ya wengine kupitia post yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…