macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hata wewe ni kama mimi...I know
Mzee ukiwa na tatizo muda mrefu ndio corona haiwezi kukuchukua?
Alipindisha sheria kumnusuru mzee wa kiroba cha dhahabu na mil 900. Kwenye kesi ya Mrema, hata hivyo alikiri yeye mwenyewe kwa mdomo wake kwenye hotuba yake ya kustaafu.RIP JAJI, ILA UYU SI NDIYE YULE ALICHAKACHUA KURA ZETU KUIPENDELEA CCM??
RIP BAHARIA
... matatizo ya kupumua!Alikuwa anaumwa nini
Nadhani kama mchakato wa urais 2015 ungesimamiwa vizuri huyu ndiye alikuwa mgombea mwenye sifa zote. Alichukuwa fomu lakini sijui kwa nini waliliondoa jina lake mapema sana. Tena kuna watu walisema Kikwete ndiye aliyemwomba achukue fomu. Angekuwa rais ina maana tungeondokewa na rais aliye madarakani kwa kifo. Au pengine angekuwa amepata checkup na matibabu mazuri na hivyo asingefariki kipindi hiki?
Hahaha yani wewe nahisi kukufahamu....mshirika wa wapi vile!??!?Hata wewe ni kama mimi...I know
Basi tuu,....
[emoji41][emoji41][emoji41]
... hizo nge, nge; hiyo ndio maana halisi ya conspiracy theory!.... Angekuwa rais ina maana tungeondokewa na rais aliye madarakani kwa kifo. Au pengine angekuwa amepata checkup na matibabu mazuri na hivyo asingefariki kipindi hiki?
Huyu Jaji alimkatili sana Mtikila kwenye kesi ile ya mgombea binafsi alachakachua matokeo ya kesi kumbe alikua na kadi ya CCM mfukoni...akalazwe anapostahili...
Hebu fanya wepesi hukoHata wewe ni kama mimi...I know
Basi tuu,....
[emoji41][emoji41][emoji41]
Nimegundua wengi wanasikiliza habari za vijiweniAcha uongo. Huyu Jaji ndiye alimpa Mtikila ushindi mahakamani. Halafu serikali ikakimbilia Bungeni kubadilisha sheria.
Ubaya saivi hakuna kwenda nje tunabanana hapa hapa bongo kapuku na wazito
Senior citizen wengi wako na underlaying medical issue,,Kuna mmoja kule congo nimesikia aling'oa Jino tu,virus ikapita naeActually, ndio inakuchukuwa kirahisi. Na ndio maana inaua wazee kuliko vijana kwa vile wazee wana magonjwa ya muda mrefu.
Unazungumzia mtikila ipi One au Two? Mimi nazungumzia ile ambayo Kabudi alikua amicus curiae...sema wapi nilipodanganya maana kwenye hio mtikila II huyu bwana alivijua mamlaka ya kimahakama na kusema swala hili liende bungeni likatatuliwe kisiasa kitu ambacho hakikuulizwa kabisa...Acha uongo. Huyu Jaji ndiye alimpa Mtikila ushindi mahakamani. Halafu serikali ikakimbilia Bungeni kubadilisha sheria.