macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wangari Maathai,
Nadhani kama mchakato wa urais 2015 ungesimamiwa vizuri huyu ndiye alikuwa mgombea mwenye sifa zote. Alichukuwa fomu lakini sijui kwa nini waliliondoa jina lake mapema sana. Tena kuna watu walisema Kikwete ndiye aliyemwomba achukue fomu.
Angekuwa rais ina maana tungeondokewa na rais aliye madarakani kwa kifo. Au pengine angekuwa amepata checkup na matibabu mazuri na hivyo asingefariki kipindi hiki?