TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

The legal fraternity has lost five of it's very own in 24 hours
Augustino Ramadhani CJ RTD
Ali Haji Pandu CJ Zanzibar RTD
Alhaji Musa Kwikima AG J RTD
Evod Herman Mmanda
Gaudiosius Ishengoma
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, lakini bado umenichanganya.

Huyu Gaudiosius Ishengoma, na yeye kaaga dunia leo hii hapo hapo Agha Khan hospitali?

Heeeh, wait a minute; "lost five of it's very own i 24 hours"? Are you kidding!
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, lakini bado umenichanganya.

Huyu Gaudiosius Ishengoma, na yeye kaaga dunia leo hii hapo hapo Agha Khan hospitali?

Heeeh, wait a minute; "lost five of it's very own i 24 hours"? Are you kidding!
Mpwa wangu soma taratibu kabisa taarifa inajitosheleza
 
Mpwa wangu soma taratibu kabisa taarifa inajitosheleza
Tulikwenda vizuri 'Elli' hadi uliponipachika 'Upwa', ukadondoka ..., hiyo moja.

Hiyo taarifa ulivyoiwasilisha haiwezi kujitosheleza kwa njia yoyote..., hilo la pili.

Lakini kama hutaki kutosheleza, yaishie hapo, kwa sababu huu unaweza kuwa mwanzo wa mzozo. ..., hilo la tatu.
 
You can't find notable record of judicial excellence that qualified him for Chief Justice nomination. Or even a judge. It is an endemic problem within the third word processes in acquisition of leadership.
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, lakini bado umenichanganya.

Huyu Gaudiosius Ishengoma, na yeye kaaga dunia leo hii hapo hapo Agha Khan hospitali?

Heeeh, wait a minute; "lost five of it's very own i 24 hours"? Are you kidding!

27 Apr 2020

Ex- Chief Justice Ali Haji Pandu RIP

Mzee Ali Haji Pandu, mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar, alifariki Jumatatu ya tarehe 27 Aprili 2020 Mjini Unguja na kuzikwa kwao Makunduchi.
Hapa mmoja wa watu waliomjuwa kwa karibu, Ismail Jussa, anasimulia wasifu wake:
  • Kuzaliwa 1938
  • Masomo Skuli ya Makunduchi
  • Masomo Skuli sekondari Ben Bella
  • Skuli ya Lumumba (King George the VI)
  • Scholarship Yugoslavia Belgrade University shahada mbili za sheria 1962
  • Sheha / Murdir (wa Chakwa) Peoples Court Wilaya ya Kati 1962 - 1964
  • Mtumishi wa Mahakama 1964 - 1970
  • Jaji Mkuu Mahakama Znz 1970-1978
  • 1978 Ajiuzulu kutokana na kutoridhika na jinsi kesi ya uhaini ilivyoendeshwa Kesi Katika Mahakama Bandia ya Zanzibar – Tishio la Ukombozi
  • 1978 aligombea ubunge akashindwa
  • 1980 akagombea tena na hakufanikiwa
  • Mrajisi Mkuu wa serikali SMZ mambo msingi 1984
  • 1985 Mbunge CCM jimbo Makunduchi
  • Waziri wa Ardhi Majenzi Maji 1985
  • Mbunge Makunduchi 1985
  • Waziri Maliasili bahari misitu 1985
  • 1988 Mzee Pandu, Maalim Seif na wenziwe kadhaa kufukuzwa uanachama CCM kutokana na kilichoitwa 'Kuchafuka kwa hali ya hewa' ya kisiasa Zanzibar Masimulizi ya Thabiti Kombo kuhusu kuchafuka kwa hali ya hewa kisiasa
  • Kuwekwa kizuizini 1990 chini ya amri ya rais kwa miezi sita Document
  • KAMAHURU 1990 Shaaban Mloo
  • Kuunganisha Civic United na KAMAHURU Member : Civic United Front (CUF)
  • CUF 1992
  • ACT Wazalendo 2019


Source : Weyani TV
 
Mkuu hapa nadhani mahakama ili ingiliwa
Ukisoma judgement yote utakutana na mashaka kwani alisema
Mgombea binafsi si swala la mahakama Bali ni bunge lenye mamlaka ya kutunga sheria
Akasahau even court could make a judge made lawa (precedent)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahaah basi hakuna shida Mkuu, tuendelee na maombi, kikubwa pumzi! Natafuta shamba tulime bangi hata kwenye greenhouse
 

Attachments

  • IMG-20200428-WA0057.jpg
    46 KB · Views: 1
Marafiki wa mahakama waliwazidi uzito Jopo la jaji Ramadhani. That's it. Sheria is about justice and fairness, kama haujui. Siyo mambo ya mimi ni baba kichwa cha nyumba lazima niamue nitakavyo.
Friends of court wawili tu jamaa? Wanaweza vipi shinda full bench mzee? Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…