Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Jaji Mstaafu Mussa Kwikima amefariki leo Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam
Alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya chama cha ACT Wazalendo na amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ikiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu na Mshauri wa Chama
Aidha, itakumbukwa kuwa baada ya kustaafu Jaji Kwikima alifanya kazi ya Uwakili