TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

Bwana ameleta, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

AMEN
 
Unajua Serikali iache mambo ya kihuni na wajinga wa ccm waanze kuelewa jaman watu wanakufa sana na wengi wao ni corona imesababisha yan vyotote wanavyokufa ni corona sababu wengine wanaenda hospitali wanaumwa magonjwa mengine ila hawashughulikiwi ontime sababu ya corona hiyo hiyo, endeleen kumsikiliza baba yenu mwongo mwongo tatizo likifika kwenye ngazi ya familia ndio mtaelewa maana yake sasa View attachment 1432918

Angalia huyu dada alivyolalamika. Watu wanapenda sana madaraka kuliko watu waliowaweka kwenye madaraka

Sent from my iPhone using JamiiForums
Aweke ushahidi Wa kuwa walikataa hospital kumpokea
 
Jaji Mstaafu Mussa Kwikima amefariki leo Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam

Alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya chama cha ACT Wazalendo na amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ikiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu na Mshauri wa Chama

Aidha, itakumbukwa kuwa baada ya kustaafu Jaji Kwikima alifanya kazi ya Uwakili

View attachment 1432772
APUMZIKE KWA AMANI.
 
Huko anakwokwenda ndiko anakutana na jaji wa majaji.. kama alipindisha mistari hapa duniani basi huko ni mnyoosho tu! Kwa maana hawa kazi zao za ujaji wa dunia zina changa moto nyingi sana. By the way alale panapostahili🙏
Kikwima alipokua wakili alipigwa munda na hukumu yake mwenyewe alioitoa alipokua jaji
 
HiI habari ziwe kwenye uzi mmoja...
Nashauri maana zimekuwa nyingi
 
jamani kuna shida gani kwa majaji mbona ni wanapukutika
 
Apumzike kwa Amani Jaji Musa Kwikima.
 
Back
Top Bottom