TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

Una maana yeye alitoa hukumu halafu baadae akawa wakili?
Ndio...akasimamia kesi ambayo ilikua inakinzana na hukumu alioitoa alipokua jaji,alijisahau!
Ilipelekea mpaka jajimkuu atoe ushauri kwamba,majaji wakistaafu ni vizuri wajikite,kutafiti,kuandika na kufundisha sheria badala ya kuwa wakili wa kujitegemea
 
Yes,upande wa jamhuri ukatoa hukumu yake kama precedent,kesi ikafa hapo hapo,nadhani ilikua tabora
Ilibidi jaji mkuu waki ule francis nyalali,awashauri majaji wakistaafu,wajishughulishe na kuandika na kufundisha badala ya uwakili binafsi,watadhalilishwa na 'wahuni' kina kibatala
Kibatala huyu kitukuu kwenye sheria? Hivi uliona ile interview ya kikeke na Kibatala iliyohusu ushindi wa Kesi wa mteja wake kwikima? Hebu kueni na adabu ' kwikima si wakulinganishwa na kitoto kama kibatala
 
Back
Top Bottom