Marehemu ni mmoja wa wanasheria wa mwanzo mwanzo kuhitimu toka kwenye kitivo chetu cha sheria.
Yap corona siyo shida tena,sasa naona China fever ndo tishio!!Poleni sana wafiwa. Jamani malaria imepamba moto. Lakini inaonekana kufukiza kumeimaliza corona kabisa.
Inna lillah wa ilahyi rajiunJaji Mstaafu Mussa Kwikima amefariki leo Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam
Alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya chama cha ACT Wazalendo na amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ikiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu na Mshauri wa Chama
Aidha, itakumbukwa kuwa baada ya kustaafu Jaji Kwikima alifanya kazi ya Uwakili
View attachment 1432772