TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

Unajua Serikali iache mambo ya kihuni na wajinga wa ccm waanze kuelewa jaman watu wanakufa sana na wengi wao ni corona imesababisha yan vyotote wanavyokufa ni corona sababu wengine wanaenda hospitali wanaumwa magonjwa mengine ila hawashughulikiwi ontime sababu ya corona hiyo hiyo, endeleen kumsikiliza baba yenu mwongo mwongo tatizo likifika kwenye ngazi ya familia ndio mtaelewa maana yake sasa

Angalia huyu dada alivyolalamika. Watu wanapenda sana madaraka kuliko watu waliowaweka kwenye madaraka


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aliwahi kuwa mwanachama wa UDP na baadae CHADEMA then akahama na wimbi la kina MM1.

Nimewahi kuwa mpangaji wake pale Ussoke he was a very intelligent man na kwenye sheria alisumbua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…