TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

Bwana ameleta, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

AMEN
 
Aweke ushahidi Wa kuwa walikataa hospital kumpokea
 
APUMZIKE KWA AMANI.
 
Huko anakwokwenda ndiko anakutana na jaji wa majaji.. kama alipindisha mistari hapa duniani basi huko ni mnyoosho tu! Kwa maana hawa kazi zao za ujaji wa dunia zina changa moto nyingi sana. By the way alale panapostahilišŸ™
Kikwima alipokua wakili alipigwa munda na hukumu yake mwenyewe alioitoa alipokua jaji
 
HiI habari ziwe kwenye uzi mmoja...
Nashauri maana zimekuwa nyingi
 
jamani kuna shida gani kwa majaji mbona ni wanapukutika
 
Apumzike kwa Amani Jaji Musa Kwikima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…