TANZIA: Jaji Mstaafu Mussa Kwikima afariki dunia katika Hospitali ya Kairuki

Stay at home! Corona sio malaria wala vvu..chukueni tahadhari
 
Maombi yanasaidia sana lakini kumbuka pia Mungu ametuumba kwa mfano wake. Tuna akili ambayo tunapaswa kuitumia. Haiwezekani wewe umbusu mgonjwa wa corona halafu utegemee muujiza. Hiyo ni kumjaribu Mungu.
Na yale maombi kwa Mungu vipi?
 
Duh.. yani unataka kuniambia ngariba alitahiriwa siku hiyo😯
Yes,upande wa jamhuri ukatoa hukumu yake kama precedent,kesi ikafa hapo hapo,nadhani ilikua tabora
Ilibidi jaji mkuu waki ule francis nyalali,awashauri majaji wakistaafu,wajishughulishe na kuandika na kufundisha badala ya uwakili binafsi,watadhalilishwa na 'wahuni' kina kibatala
 
Aweke ushahidi Wa kuwa walikataa hospital kumpokea

We jamaa kwenye hiyo post hadi Ummy kamwomba huyu dada namba yake ya simu, alafu ushahidi ni mimi hapa mtoto alikuwa anaumwa ilibid nitafute private doctor ndio kanisaidia hospital dar zina hali mbaya man


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Viongozi wetu wametutelekeza kipindi hiki.
 
Viongozi wetu wametutelekeza kipindi hiki.

Wanatunza pesa za kugawa kipindi cha kampeni sasa sijui watamgawia nan tukifa wote ? yan wanawaza ni namna gani watarudi madarakan badala ya kuangalia afya za watu, Leo nimeona WHO wanasema katika nchi zinazoleta mzaha na corona Tanzania iko Top yan juu kabisa ya hilo list na jamaa wanasema wanachoweza wao ni kushauri ila hawapo kulazimisha nchi yeyote aisee aisee Noma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aise....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishindwa kesi bada ya upande wa pili kuweka pingamizi kwa kutumia hukumu alioitoa alipokua muheshimiwa jaji
Ilikua fedheha kubwa sana
Una maana yeye alitoa hukumu halafu baadae akawa wakili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…