TANZIA: Katibu wa CHADEMA Manyoni Mashariki, Alex Jonas auawa kwa kukatwakatwa mapanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731

Soma: https://www.jamiiforums.com/threads...kini-hata-bodaboda-wanahitaji-ulinzi.1695913/

TANZIA, Katibu wa CHADEMA Manyoni Mashariki kamanda Alex Jonas (kushoto ) ameuawa kwa kupingwa mapanga usiku wa kuamkia leo

 

Kwani kauliwa na CCM? Hivi nyie hata mgepewa nafasi ya kutawala nchi hii mngekuja na watu wenu?
 
Unajifanya hujui tofauti ya kuuwawa na kufariki ewe Yohana mbatizaji fake? Sometimes unapotoa pole kwa msiba mzito hivi, umaanishe toka moyoni. Kejeli sio nzuri. Tuutangulize utu kwanza.
Bwashee tangazo limesema yametokea " mauaji" bila ufafanuzi wowote.

Ndiposa kwa nia njema nimeuliza ni mauaji ya namna gani?........ Uwe unaelewa bwashee!
 
Kwaio akifa chadema kauwawa na ccm vip yule katibu wa ccm alie ulie uliwa juzi na vip viongozi wa ccm walio uliwa kibit vip unawashaur na ccm waandae documentary tuwapelekee wahisan? Acha kuwazia matako kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuuawa ni taarifa baada ya uchunguzi au taarifa inayotolewa na shuhuda au tafsiri ya kimahskama baada kupitia maelezo na vielelezo kadhaa
Ukiukuta mwili wa mtu aliyekufa na mwili wake kukutwa na majeraha ya mapanga utahitaji uchungu ili kuthibishwa neno "kuuawa"?.
 
Kuuawa ni taarifa baada ya uchunguzi au taarifa inayotolewa na shuhuda au tafsiri ya kimahskama baada kupitia maelezo na vielelezo kadhaa
Mtu amekatwa mapanga unataka tuseme amekufa mwenyewe au unataka tuseme amejiua ?.
 
Kama wewe Ni mwanasiasa hakuna mwaka unatakiwa kuwa makini Kama huu,kila sekunde lazima uwe chonjo,kila kichochoro Ni potential danger zone kwako,

Kila unapotoka kwako getini angaza pande zote kuhakikisha pako salama,
Kill unapoingia getini hakikisha pande zote ziko clear,yaani haitakiwi kurelax hata sekunde or you are in trouble.

Jitahidi kill unapodrive always someone is tailing you,,keep your eyes open,jifunze kufanya surveillance detection run,,hakuna mhalifu wa kutaka kukudhuru bila kukufuatilia nyendo zako kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…