mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,325
Kwenye mambo ya uhai wa mtu siasa siyo pahala pake bwashee!
Kwa ccm madaraka ni zaidi ya maisha ya watu hasa watu hao wakiwa wanacdm.
Kwenye mambo ya uhai wa mtu siasa siyo pahala pake bwashee!
Kwaio akifa chadema kauwawa na ccm vip yule katibu wa ccm alie ulie uliwa juzi na vip viongozi wa ccm walio uliwa kibit vip unawashaur na ccm waandae documentary tuwapelekee wahisan? Acha kuwazia matako kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu !Kwa ccm madaraka ni zaidi ya maisha ya watu hasa watu hao wakiwa wanacdm.
Asante kwa mchango wakoEti chama kitatoa taarifa, chukueni hatua sio tu kutoa taarifa.!!