Kama wewe Ni mwanasiasa hakuna mwaka unatakiwa kuwa makini Kama huu,kila sekunde lazima uwe chonjo,kila kichochoro Ni potential danger zone kwako,
Kila unapotoka kwako getini angaza pande zote kuhakikisha pako salama,
Kill unapoingia getini hakikisha pande zote ziko clear,yaani haitakiwi kurelax hata sekunde or you are in trouble.
Jitahidi kill unapodrive always someone is tailing you,,keep your eyes open,jifunze kufanya surveillance detection run,,hakuna mhalifu wa kutaka kukudhuru bila kukufuatilia nyendo zako kwanza.