TANZIA: Katibu wa CHADEMA Manyoni Mashariki, Alex Jonas auawa kwa kukatwakatwa mapanga

TANZIA: Katibu wa CHADEMA Manyoni Mashariki, Alex Jonas auawa kwa kukatwakatwa mapanga

Kikombe cha uovu wa CCM mpya kinazidi kujaa. Viongozi wa Chadema tengenezeni documentary ya mauaji yooooote ya makada wenu waliouwawa tangu awamu ya nne hadi sasa kisha muisambaze kwa nchi wahisani kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani nyie mapopoma kwa kiwango cha rami kila kitu ni ccm hata kama jamaa kafumaniwa na mke wa mtu mtasema ni ccm mnaomba mhurumiwe muonekane wanyonge kazi mnayo
 
Kwa hali hiyo ni rahisi sana watu kuunga mkono juhudi!
 
Kuna watu hata kulaani tu kitendo hiki hawataki...cha ajabu unawaona makanisani na misikitini sijui huwa wanamuomba Mungu yupi?
 
Upumbavu mwingine bana!!!!yaani Kila anayeuwawa wa CHADEMA kauwawa na CCM???hebu muwe mnafuatilia Kwanza chanzo Cha mauaji kabla ya kupiga ramli chonganishi.
 
Kuuawa ni taarifa baada ya uchunguzi au taarifa inayotolewa na shuhuda au tafsiri ya kimahskama baada kupitia maelezo na vielelezo kadhaa
Ila RPC Mambosasa anapotamka kuuawa kwa suspect (mtuhumiwa ambaye hajahukumiwa na court of law)hili ni sawa kwako kisheria,ila CDM wanapotangaza kuuawa kwa kiongozi wake hili linahitaji taratibu za kisheria!!tunaunda taifa litakalo kuwa na hasira na visasi.muda ni ukuta,dikiteta Mubarak he kicked the bucket few days ago,kumbe naye amekufa baada ya kuwaua watu wengi mno.
 
Hapo hakuna cha uchunguzi wala cha nini, ndio imetoka hivyo lkn hata hivyo hata Mubarak naye amekufa sawa na Moi.

No one is Immortal. Kila nafsi itaonja mauti wakiwemo hao wanaotumwa kuua wengine.
 
Why don't you just call a spade a spade? Instead of saying "kama wewe ni mwanasiasa" just say "kama wewe ni mwanasiasa wa upinzani, especially CHADEMA". Very weak ass people here afraid of the ruling party.
Mkuu uko single minded Sana,,hujasikia yule wa ccm alienyongwa bukoba majuzi?
 
Kauli ya Bulembo bungeni na Mwenyekiti wa ccm huko Iringa zihojiwe kwa maslahi mapana ya Tanzania.
 
Daah pole kwa Makamanda wote na pole kwa Familia na ndugu wote..inasikitisha sana Mungu atusaidie kwa kweli!
 
Jamanii mabeberu sio watu tuwe makini tutashindia mkate!
 
Ila RPC Mambosasa anapotamka kuuawa kwa suspect (mtuhumiwa ambaye hajahukumiwa na court of law)hili ni sawa kwako kisheria,ila CDM wanapotangaza kuuawa kwa kiongozi wake hili linahitaji taratibu za kisheria!!tunaunda taifa litakalo kuwa na hasira na visasi.muda ni ukuta,dikiteta Mubarak he kicked the bucket few days ago,kumbe naye amekufa baada ya kuwaua watu wengi mno.
Inawwzekana anakuwa anatoa taarifa hiyo based on report ya uchunguzi.
 
Kuuawa ni taarifa baada ya uchunguzi au taarifa inayotolewa na shuhuda au tafsiri ya kimahskama baada kupitia maelezo na vielelezo kadhaa
Unamaanisha nini Ndugu, kwamba hajauawa?Yote yana mwisho.
Poleni wafiwa,Mungu awajaze subira katika wakati huu mgumu.
 
Kuuawa ni taarifa baada ya uchunguzi au taarifa inayotolewa na shuhuda au tafsiri ya kimahskama baada kupitia maelezo na vielelezo kadhaa

Hakuna uchunguzi akiuwawa mwanacdm, inafahamika lengo ni cdm ifutike.
 
Kama wewe Ni mwanasiasa hakuna mwaka unatakiwa kuwa makini Kama huu,kila sekunde lazima uwe chonjo,kila kichochoro Ni potential danger zone kwako,

Kila unapotoka kwako getini angaza pande zote kuhakikisha pako salama,
Kill unapoingia getini hakikisha pande zote ziko clear,yaani haitakiwi kurelax hata sekunde or you are in trouble.

Jitahidi kill unapodrive always someone is tailing you,,keep your eyes open,jifunze kufanya surveillance detection run,,hakuna mhalifu wa kutaka kukudhuru bila kukufuatilia nyendo zako kwanza.

Ukiwa mwanasiasa au ukiwa mwanasiasa wa cdm? Ukiwa ccm hakuna tatizo. Lengo ni cdm ifutike.
 
Back
Top Bottom