Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
Akiuawa Kiongozi yeyote wa Chadema, jua kwamba ccm wako nyuma ya kifo hicho, hilo liko wazi na wala sio ubashiri, acha kutumia lugha za matusi au unataka kutulazimisha tuamini kwamba ukweli unauma ?, hapa ni kwa the GreatThinkers, Hoja kwa HojaKwaio akifa chadema kauwawa na ccm vip yule katibu wa ccm alie ulie uliwa juzi na vip viongozi wa ccm walio uliwa kibit vip unawashaur na ccm waandae documentary tuwapelekee wahisan? Acha kuwazia matako kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu John! Mleta mada hakuna alipoandika neno ' yametokea'. Msome vzr. Ufafanuzi hutolewa na polisi wetu. Tuombee amani ya nchi yetu tuu, ushabiki wa kisiasa uwekwe pembeni.Bwashee tangazo limesema yametokea " mauaji" bila ufafanuzi wowote.
Ndiposa kwa nia njema nimeuliza ni mauaji ya namna gani?........ Uwe unaelewa bwashee!
Kwaio akifa chadema kauwawa na ccm vip yule katibu wa ccm alie ulie uliwa juzi na vip viongozi wa ccm walio uliwa kibit vip unawashaur na ccm waandae documentary tuwapelekee wahisan? Acha kuwazia matako kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombee amani ya nchi gani ?, yaani mnaua watu halafu mnasema tuombee nchi ?.Mkuu John! Mleta mada hakuna alipoandika neno ' yametokea'. Msome vzr. Ufafanuzi hutolewa na polisi wetu. Tuombee amani ya nchi yetu tuu, ushabiki wa kisiasa uwekwe pembeni.
Kwenye mambo ya uhai wa mtu siasa siyo pahala pake bwashee!Mkuu John! Mleta mada hakuna alipoandika neno ' yametokea'. Msome vzr. Ufafanuzi hutolewa na polisi wetu. Tuombee amani ya nchi yetu tuu, ushabiki wa kisiasa uwekwe pembeni.
Ila wanaccm wasiwe na wasiwasiKama wewe Ni mwanasiasa hakuna mwaka unatakiwa kuwa makini Kama huu,kila sekunde lazima uwe chonjo,kila kichochoro Ni potential danger zone kwako,
Kila unapotoka kwako getini angaza pande zote kuhakikisha pako salama,
Kill unapoingia getini hakikisha pande zote ziko clear,yaani haitakiwi kurelax hata sekunde or you are in trouble.
Jitahidi kill unapodrive always someone is tailing you,,keep your eyes open,jifunze kufanya surveillance detection run,,hakuna mhalifu wa kutaka kukudhuru bila kukufuatilia nyendo zako kwanza.
endelea kukejeli lakini tambua kwamba hautoishi mileleAliyeandika Tangazo amenielewa!
Basi tusema kajiua kwa kujipiga mapangaKuuawa ni taarifa baada ya uchunguzi au taarifa inayotolewa na shuhuda au tafsiri ya kimahskama baada kupitia maelezo na vielelezo kadhaa
Mzee Hao malaikaaa wataishi milele!endelea kukejeli lakini tambua kwamba hautoishi milele
Wahuniiihawa NANII AWAPE nchii wehuu MWANZO mwishoooKwani kauliwa na CCM? Hivi nyie hata mgepewa nafasi ya kutawala nchi hii mngekuja na watu wenu?
Nimekupuuza bure!endelea kukejeli lakini tambua kwamba hautoishi milele
Nafikiri mgesubiri kufahamu je haya mauaji chanzo chake nini? Polisi wametoa kauli yeyote?CCM itatuharibia nchi muda si mrefu
Pumzika kwa amani kamanda Alex
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa TZ utasubiri hadi lini?Nafikiri mgesubiri kufahamu je haya mauaji chanzo chake nini? Polisi wametoa kauli yeyote?
Ngoja nikae kimya!Hapa TZ utasubiri hadi lini?
Rejea mkasa wa Lissu, Saanane, Mawazo, Azory n.k
Sent using Jamii Forums mobile app